tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5746056873520939146..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA WIKI!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-45438115255087989462015-02-17T18:57:49.699+01:002015-02-17T18:57:49.699+01:00Katuni hii ina mengi ambayo yanajadiliwa na wale w...Katuni hii ina mengi ambayo yanajadiliwa na wale waliomo katika taaluma kama lugha, falsafa, na mawasiliano. Fundisho muhimu ni kuwa tusidhani kuwa tunachosema au tunachoandikwa kinaeleweka kwa namna tunayotaka au kuwazia, iwe ni katika mazungumzo ya kawaida, ujumbe wa simu, hotuba jukwaani, masomo darasani, gazetini, redioni, au katika blogu. <br /><br />Ni hatari, tupende tusipende. Hata ukikaa kimya, unaweza usieleweke au unaweza kueleweka vibaya. Ni hatari. Maadam bado tuko hai, tuko hatarini.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34411331737534023812015-02-17T17:57:40.802+01:002015-02-17T17:57:40.802+01:00Haahhahah..mtoto kafuata maelekezo vyema......
Iwe...Haahhahah..mtoto kafuata maelekezo vyema......<br />Iwe njema kwako na familia pia.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com