tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5700220548239943681..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: TUNAKUMBUKA VIFAA HIVI VYA KUKOBOLEA NAFAKA ZETU TANGU HAPO KALE MPAKA SASA?!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-74116698361931876802012-12-01T11:49:16.219+01:002012-12-01T11:49:16.219+01:00Mmmmh? labda machine za kisasa ila sisi kwetu waka...Mmmmh? labda machine za kisasa ila sisi kwetu wakati nipo mdogo nilishuudia watu wakizaga ulezi kwenye jiwe, ata kalanga-Steven Bulamunoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-49773154122265665262012-12-01T03:29:53.205+01:002012-12-01T03:29:53.205+01:00Mama. Erick hao wanao twanga wamekumbusha kisamvu....Mama. Erick hao wanao twanga wamekumbusha kisamvu. Lol!!!mumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-22637896370256762362012-11-30T13:09:34.055+01:002012-11-30T13:09:34.055+01:00Nakwambia kaka Ray..maana duh! mikono imepata shid...Nakwambia kaka Ray..maana duh! mikono imepata shida kweli kukoboa mahindi au fikiria kusaga hapo kwenye jiwe hadi familia ipate lishe..sijui walikuwa wanakula ugali wa mahindi hapo kale? au ndo mtama, ulenzi na uwele? najiuliza kwa sauti tu hapa....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51722094056051143182012-11-30T13:00:09.666+01:002012-11-30T13:00:09.666+01:00Hakika kila zama na waja wake!!Hakika kila zama na waja wake!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com