tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5610940505662623285..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NIMELAZIMIKA KUVUNA NYANYA ZANGU KWA AJILI YA BARIDI KUWAHI MAPEMA KULIKO MATARAJIO YANGU....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-76548802990422334192013-09-27T14:01:52.949+02:002013-09-27T14:01:52.949+02:00KACHIKI..Ahsante alo..Ni kweli ila hata hivyo nasi...KACHIKI..Ahsante alo..Ni kweli ila hata hivyo nasikitika..njoo chukua nawe:-)

Kaka Salumu! :-) Hapa hakuna mambo hayo labda niwape majirani

Usiye na jina! kumbe unaishi Ujerumani mwenzangu..Basi kanuni/sheri ni hizo hizo..Na kwanza kama una kazi nyingine huwezi tu kuanza kuuza kitu bila kuripoti na kupata kibali na mambo mengine mengiiii.
Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34611613855850035572013-09-27T08:18:44.287+02:002013-09-27T08:18:44.287+02:00Ah ah ah hoteli na migahawa, kibongo bongo! Sijui ...Ah ah ah hoteli na migahawa, kibongo bongo! Sijui kama ni rahisi hivyo kwa ulaya, embu dada yetu Yasinta atuambie. Mana walivyo strict na kujua zimelimwaje nk!!!Si unajua mambo ya afya kwa nje wenzetu makini. Ila sijui kwa Sweden, Ujerumani hauzi kirahisi hivyo. siku njema.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-41007770883638876152013-09-27T04:33:04.370+02:002013-09-27T04:33:04.370+02:00Wauzie watu wa hoteli na migahawa utapata hela. By...Wauzie watu wa hoteli na migahawa utapata hela. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-14962573465567367502013-09-26T19:04:00.635+02:002013-09-26T19:04:00.635+02:00Pole KADALA.lakini si haba tumekula mwaka huu..Pole KADALA.lakini si haba tumekula mwaka huu..Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-39616859416685348762013-09-26T15:42:22.759+02:002013-09-26T15:42:22.759+02:00Kaka Ray! Nashukuru kwa kunitia moyo...ila "...Kaka Ray! Nashukuru kwa kunitia moyo...ila "MADENDO NTIMA" hiyo kama nimeelewa.

Usiye na jina! Kachumbali utaishindwa mwenyewe....na ahsante kwa ushauri . Ntaweka baadhi kwanza nione kama zitaiva.
Kaka wa mimi Mrope....karibu sana tena sana....na wala usikonde vyote utapata:-DYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-13424219872232351262013-09-26T12:54:33.587+02:002013-09-26T12:54:33.587+02:00tushakaribia dada. We andaa pilau na kachumbari..tushakaribia dada. We andaa pilau na kachumbari..Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07722344478243372930noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-6387177896624804842013-09-26T12:50:03.151+02:002013-09-26T12:50:03.151+02:00Mie ntakuja kula kachumbari mana una nyanya hapo n...Mie ntakuja kula kachumbari mana una nyanya hapo na kitunguu, nitengenezee ili nyanya zipungue. Ukiziweka kwenye box zitaiva haraka halafu zote kwa wakati mmoja! ila huna jinsi uzitoe kabla hazijaiva sana sana, ivisha taratibu ukiweza. Haya mkulima Yasinta kila la heri. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-59791489134343110482013-09-26T12:13:34.333+02:002013-09-26T12:13:34.333+02:00Kaazi kwelikweli,mabadiliko ya hali ya hewa yasiyo...Kaazi kwelikweli,mabadiliko ya hali ya hewa yasiyotarajiwa yanamlazimisha mkulima kula mbegu na kuuza jembe.
Yasinta kazi ya mikono yako ni nzuri na sana na wala usikate tamaa kwa kuwa kule kusini wanasema:"MADENGO NTIMA."ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com