tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5597434820500620719..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: LEO TWENDE KUTEMBELEA MBUGA YA NGORONGORO...KARIBU TANZANIA YETUYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-70061354222909604272014-01-25T03:34:16.101+01:002014-01-25T03:34:16.101+01:00Hamna neon. Kama nitaweza kuyajibu nitayajibu na n...Hamna neon. Kama nitaweza kuyajibu nitayajibu na nikichemsha nitakwambia. Tuombe uzima.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-36375768268653203592014-01-24T18:43:12.083+01:002014-01-24T18:43:12.083+01:00Nitafuhi kwa kweli...natanguliza shukrani zangu kw...Nitafuhi kwa kweli...natanguliza shukrani zangu kwenu. ...nitakutafuta kwa maswali zaidi...kapulya.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-53808064289540291462014-01-24T17:50:25.798+01:002014-01-24T17:50:25.798+01:00Kikitoka bila shaka utakuwa wa kwanza kutumiwa te...Kikitoka bila shaka utakuwa wa kwanza kutumiwa tena kikiwa na saini zetu. Ni kitabu kizuri hasa kwa wazazi wanaoishi nje. Tumefanya hivyo baada ya kuona watoto wetu wanapoteza kiswahili. Hawa waliozaliwa huku ndiyo usiseme. Akikwambia karibu anasema KARAIBU. Tuligundua kuwa itakuwa aibu siku moja tukirejea nyumbani hivyo tukaamua kutunga kitabu kinachoweza kuwavutia watoto. Tunangoja kusikia mchapishaji atakiingiza mitamboni lini.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-38090661524345723032014-01-24T07:15:47.349+01:002014-01-24T07:15:47.349+01:00Hongera mwal. He naweza kukipata hicho kitabu...na...Hongera mwal. He naweza kukipata hicho kitabu...nami nijinome?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-21973739369825133602014-01-24T02:50:26.929+01:002014-01-24T02:50:26.929+01:00Wenzio tulishakwenda na kitabu cha watoto cha safa...Wenzio tulishakwenda na kitabu cha watoto cha safari yetu kinakuja. Kinaitwa Safari ya Mbuga za Wanyama.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com