tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5452127892796438171..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NASIKITIKA SANA MWAKA HUU BUSTANI YETU HAISTAWI KAMA MIAKA MINGINE....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-35610884599628826052016-07-28T10:06:19.899+02:002016-07-28T10:06:19.899+02:00Ahsante sana kidogo napata hamu tena ya kutafuta n...Ahsante sana kidogo napata hamu tena ya kutafuta ni mbinu gani nifanye maana nina hamu sana ya mchicha na mboga nyingine ambazo ni tamu kuzilima mwenyewe.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-88986786878395708432016-07-25T21:08:31.604+02:002016-07-25T21:08:31.604+02:00Duh pole sana kwa kuhangaikia bustani yetu ila na ...Duh pole sana kwa kuhangaikia bustani yetu ila na mazao yamegoma! Sasa itakuwa ni ubaridi baridi bado iko namaanisha hali ya hewa si rafiki? Au kweli udongo umechokaaaa? Au ni hao wadudu konokono? Jamani jamani viachie bustani yetu. Ila nakupongeza kwa kutokata tamaa na kutumia makopo kuendeleza kilimo kwanza ama kweli mtu kwao, haya tutakula hivyo vitakavyopatikana. Karibu tz ardhi kubwaaaa na hali ya hewa rafiki kwa mazao. Anonymousnoreply@blogger.com