tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5341896651763393496..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NGOMA ZA ASILI NI NZURI JAMANI HAYA EBU TUANZA MWISHO WA WIKI NA HII!!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79277741368095001232012-03-10T13:41:28.726+01:002012-03-10T13:41:28.726+01:00Duuuhh Sam mwana wa mbogo, Mzuka umeshampanda, ina...Duuuhh Sam mwana wa mbogo, Mzuka umeshampanda, inabidi da'Yasinta aje huku kwani tupo wengi!!!!hehehehe Sipati pichaa,kaka wa mimi Kitururu umenogewa na nini?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-83449882929065428282012-03-10T01:02:57.276+01:002012-03-10T01:02:57.276+01:00Mie nimenogewa!Mie nimenogewa!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-4718519254188596462012-03-09T20:55:15.343+01:002012-03-09T20:55:15.343+01:00mimi niko tayari kucheza ngoma mojawapo katika hi...mimi niko tayari kucheza ngoma mojawapo katika hizo nilizo zitaja,nakuongezea nyingine,ngokwa nakwambia sikuhiyo hapatatosha. hii siyo kungojea bongo tu,Rache l,bisikuti yangu wanawake/kinamama oyeeee! niambieni popote nitakuja kwa gharma zangu mzuka umepanda. kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-88621029113314484472012-03-09T17:12:22.359+01:002012-03-09T17:12:22.359+01:00emu3! Siku nitakayoacha uasili wangu ni siku ile n...emu3! Siku nitakayoacha uasili wangu ni siku ile nitapoiacha dunia hii. Pamoja daima
Ausal! Ahsante ni furaha kwangu kusikia unajifunza mengi kupitia hapa. Tamaduni ni msingi wa mtu na sitaacha wala kusahau asili yangu kamwe.

Rachel! umenichekesha wewe nakwambia hiyo siku utaponiona naselebuka hutanijua halafu hiyo ngoma sasa inabidi usivae kiatu hapo ndo utafaidi utamu wake...Tumsubiri kaka Sam asema lake:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-76006308577794080032012-03-09T16:46:22.924+01:002012-03-09T16:46:22.924+01:00Samahani nilitaka kuandika BONGO!!Samahani nilitaka kuandika BONGO!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-77635539644953008122012-03-09T16:44:55.504+01:002012-03-09T16:44:55.504+01:00Duuhh nimechezaa mpaka nimechoka, kaka S mwana wa ...Duuhh nimechezaa mpaka nimechoka, kaka S mwana wa mbogo,Hongera kwakuzijua kucheza zoote hizo,Natamani siku moja niwaone wewe na da'Yasinta mkiserebuka,Timwilika, mimi nichukue pichaaa,tena hii iwe bonga kwani nafasi ni nzuri zaidi.MTU KWAO!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-3128721665183649812012-03-09T15:05:12.060+01:002012-03-09T15:05:12.060+01:00Asiyejali asili na tamaduni za kwao ni mtumwa!Hong...Asiyejali asili na tamaduni za kwao ni mtumwa!Hongera Yasinta nakupenda sana kwani pamoja na maisha na mafanikio bado ujivuni wala kujikweza najifunza mengi kutoka kwako.Ausalnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-67899819014351898252012-03-09T13:48:48.933+01:002012-03-09T13:48:48.933+01:00Mwenye kuacha utamaduni wakeni mtumwa, tupo pamoja...Mwenye kuacha utamaduni wakeni mtumwa, tupo pamoja dada Yasintaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58430627488793133402012-03-09T13:44:37.991+01:002012-03-09T13:44:37.991+01:00Mlongo wa USA. Hujakosea kabisa yaani step zao kam...Mlongo wa USA. Hujakosea kabisa yaani step zao kama lizombe kabisa ndio maana niziganili sana na hapa nikina kweli namuyaku.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-81480468778375129202012-03-09T13:01:47.631+01:002012-03-09T13:01:47.631+01:00Da Yasintha halafu hii ngoma inafanana na lizombe ...Da Yasintha halafu hii ngoma inafanana na lizombe some of their steps hasa pale mwishoni walipoamka wote.mi nimecheza sana ngoma ya lizombi nilipokuwa mdogo,asante kwa post hii nimefurahi.
mdau mlongo ku USA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-4707959252421115102012-03-09T12:09:33.554+01:002012-03-09T12:09:33.554+01:00Kaka Ray kweli umesema, naongezea najivunia sana u...Kaka Ray kweli umesema, naongezea najivunia sana uasili wangu na tamaduni zake....
Kaka Sam! umenikumbusha masewe nilisahau kwelikweli...na nashukuru kwa hizo ngoma nyingine ulizozitaja sikuzijua....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58907845529674197662012-03-09T12:02:42.362+01:002012-03-09T12:02:42.362+01:00ngoma za asili ni kweli zina utamu wake,hasa ukiz...ngoma za asili ni kweli zina utamu wake,hasa ukizijuwa kucheza. nashukuru kuzifahamu kuzicheza,na hasa baada ya kupita na kusoma chuo cha sanaa Bagamoyo,kunanaraha ya ajabu hasa pale unapo cheza,Lizombe,mangaka,sindimba,bugobogobo,nkinita,ukala,mawindi,malivata,lipango,mkwaju ngoma,chikocha,masewe,msewe,nk hizi ngoma nimezicheza na nyingine nishaanza kuzisahau ila zinakupa nidhamu fulani katika maisha ukizisomea kama taaluma. kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-73098999900982495412012-03-09T10:52:12.688+01:002012-03-09T10:52:12.688+01:00Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na h...Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.Kwako ni kwako na wazazi wako japo maisha na mafanikio ndani ya pango la Ruhuwiko.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com