tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post528212055993802209..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MNAKUMBUKA HII?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-50437434527341127062017-03-16T17:02:28.748+01:002017-03-16T17:02:28.748+01:00Kaka Salehe za masiku?
Samahani kwa kuchelewa kuji...Kaka Salehe za masiku?
Samahani kwa kuchelewa kujibu majukumu. Nafurahi sana kuwa hujanisahau /hujasahau kunitia moyo katika kublog...AHSANTE SANAYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-50968378656196744192017-03-16T16:59:50.240+01:002017-03-16T16:59:50.240+01:00Habari!
Makuzi hayo yalikuwa muhimu na yalikuwa ya...Habari!
Makuzi hayo yalikuwa muhimu na yalikuwa yanaakisi uhalisi wa maisha yetu na hasa utamaduni na mila
Ikiwa ni pamoja na kujenga umoja kupenda na kuwa watu wenye ushirikiano.
Kumbuka huko kucheza kulikosababisha maharage yaungue ulikiwa unacheza na watoto wa jirani na kufanya ule ujamaa wa kiasili kushamiri baina yetu. sasa hivii tunakoelekea siko tunakazi ya ziada kuyaenzi mazurii ya enzi hizo

Kila la kheriSalehe Msandanoreply@blogger.com