tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4972875945111567251..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: UJUMBE WA JUMANNE HII !!!NI KAMA IFUATAVYO....!!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89483650706293935722012-06-19T19:05:46.813+02:002012-06-19T19:05:46.813+02:00nyahbingi worrior! Amini nakwambia kuna wanaoamini...nyahbingi worrior! Amini nakwambia kuna wanaoamini hakuna Mungu na kama hawaamini kuna Mungu je watajuaje kama anawapenda?

Kaka Sam! hapa nilikuwa namaanisha huwezi kumpenda mtu mwingine kama hujipendi mwenyewe.. inakuwa rahisi ukijipenda mwenyewe kwanza yaani kujiona nawe ni binadamu katika ulimwengu huu...

Kaka Ray..kwanza ahsante kwa wimbo ..pili inawezekana tunatenda na hatujui.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-6920397662598489512012-06-19T15:16:22.045+02:002012-06-19T15:16:22.045+02:00Zilongwa mbali,zitendwa mbali[zilongwazo siyo zite...Zilongwa mbali,zitendwa mbali[zilongwazo siyo zitendwazo].Wanaimba kijamaa wanacheza kibepari.Upendo ndiyo msingi na daraja la maisha na mafanikio.Je ni kweli mimi na wewe tunafanya yote tuwezayo kwa kuonyeshana upendo kupitia matendo yetu na siyo midomo yetu?ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-81836705109676896612012-06-19T13:24:13.997+02:002012-06-19T13:24:13.997+02:00Kwa ufahamu wangu,binaadamu kujipenda mwenyewe kwa...Kwa ufahamu wangu,binaadamu kujipenda mwenyewe kwa dhati ,nina hakika hakuna.kama tungejipenda wenyewe kwa dhati basi leohii dunia hii ingekuwa swali. mfano mdogo tu ikiwa utajipenda wewe mwenyewe kwa dhati,huta kaa kufikiri ya mwengine akuharibie siku.ila ninacho juwa mimi kila kitu ni kwa kiasi. kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-91215678292645562392012-06-19T12:49:40.179+02:002012-06-19T12:49:40.179+02:00Basi kama kuna mtu anaweza kusahau kama Mungu anam...Basi kama kuna mtu anaweza kusahau kama Mungu anampenda,itakuwa tatizo.

Sellai I.nyahbingi worrior.https://www.blogger.com/profile/16213059100323353150noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87022274431472732302012-06-19T12:40:24.138+02:002012-06-19T12:40:24.138+02:00Ni furaha kwangu kufikisha ujumbe na nafurahi kama...Ni furaha kwangu kufikisha ujumbe na nafurahi kama umekuwa mtamu kwako Ester. Ahsante sana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-44670871569673516262012-06-19T12:38:30.372+02:002012-06-19T12:38:30.372+02:00Shukrani sana kwa ujumbe mtamu wa leoShukrani sana kwa ujumbe mtamu wa leoInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.com