tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4901220048148073766..comments2024-03-15T08:21:27.432+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NI NINI KINAFANYA MAISHA YAWE NA FURAHA?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-8736997627372908092012-02-23T09:18:31.077+01:002012-02-23T09:18:31.077+01:00Ndoa ni ndoana ukiwa nayo na ni doa ukiipoteza.
[A...Ndoa ni ndoana ukiwa nayo na ni doa ukiipoteza.<br />[A house is made of bricks and stones but home is made 'malove' alone].ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-22821955367763174102012-02-22T14:24:29.098+01:002012-02-22T14:24:29.098+01:00kwa uzoefu wangu,na maishayangu yakawaida,furaha s...kwa uzoefu wangu,na maishayangu yakawaida,furaha sikuzote ni wewe mwenyewe unavyo amua kuwa. pamoja na uhusiano wowote utakao kuwa nao nii wewe bado ndo ufumbuzi wa furaha yako.katika ndoa furaha ya pamoja ipo hasa kama wana ndoa na wazazi. maranyingi migongano yaweza kutokea na kumnyima mmojawenu furaha. la muhimu hapa ni wote kwa pamoja kuwa makini na migongano ndani yandoa isiyo na ulazima kuiepuka.mfano kama hupendi kitu fulani wewe baba ,huenda mkeo anakipenda basi hebu jaribu kuona nikwa nini mkeo anakipenda kitu hicho na mkazungumza nakuelewana,kuwa ikitokea mkeo anakifanya kitu hicho utakuwa una juwa hicho ndo humpa furaha,nk. nimuhimu sana kuwa nafuraha katika maisha yako.kaka ssam mbogonoreply@blogger.com