tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4734683917612366692..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: KUADIMIKA KWA MUDA!!! LIKIZO....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-90494945353316164182012-08-01T19:38:32.628+02:002012-08-01T19:38:32.628+02:00HI! DADA ANGU POLE KWA KILA KITU AMBACHO UNAONA KI...HI! DADA ANGU POLE KWA KILA KITU AMBACHO UNAONA KINAKUPA SHIDA NA PONGEZI KWA KILA JAMBO JEMA UNALOLIFANYA NA KULIPATA . NAOMBA UNISAIDIE MAWASILIANO YAKO .Shaziry Nambombenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-69886361487739200782012-08-01T01:12:42.675+02:002012-08-01T01:12:42.675+02:00Nadeku Picha. Mtoto Mzuri weye!Nadeku Picha. Mtoto Mzuri weye!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-20461954373306976992012-07-27T13:57:42.222+02:002012-07-27T13:57:42.222+02:00Likizo njema ndugu wangu,tupo pamojaLikizo njema ndugu wangu,tupo pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31659823135836572112012-07-27T13:45:58.416+02:002012-07-27T13:45:58.416+02:00haya mapumziko mema mimi nami nilikuwa likizo buko...haya mapumziko mema mimi nami nilikuwa likizo bukoba nimerudi dar lakini nikashikwa bonge la homa,ila hilo pambo la kimasai limekutoa kweli safi sanabatamwanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80214040716575878492012-07-27T11:17:43.724+02:002012-07-27T11:17:43.724+02:00Likizo njema!!Likizo njema!!chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-6234904455769108922012-07-27T07:56:20.864+02:002012-07-27T07:56:20.864+02:00Huku nyumbani hatupumziki wala kulala.
Amani.Huku nyumbani hatupumziki wala kulala.

Amani.nyahbingi worrior.https://www.blogger.com/profile/16213059100323353150noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-30298210864383338842012-07-25T12:13:05.662+02:002012-07-25T12:13:05.662+02:00endelea na mapumziko mazuri maana naonamajira ya k...endelea na mapumziko mazuri maana naonamajira ya kiangazi ndio yaanza kwi kwi maana huku finland unaweza kufikiri summer imeisha maana mvua jua mtindo mmoja jirani..siku njema
tutafika tuEDWIN NDAKI (EDO)https://www.blogger.com/profile/03807483223004414776noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34064966025568972322012-07-25T10:27:45.110+02:002012-07-25T10:27:45.110+02:00Tunakutakia likizo njema usisahau kutuletea masuku...Tunakutakia likizo njema usisahau kutuletea masuku ya kizungu kama huendi ntyangimbole au litumba ndyosi
kaka yako Che JiahISSACK CHE JIAHnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-88707188206067199942012-07-25T01:22:44.705+02:002012-07-25T01:22:44.705+02:00Yaani bonge la mapumziko safi sana kupumzika na fa...Yaani bonge la mapumziko safi sana kupumzika na familia muhimu. mimi pia kama sitaki vile ijumaa mungu akitujaalia mimi na kijana wangu tuko Bongo Dar naenda kupumzika dar,Tabora ,mpanda. wana blog wa dar nitawatafuta nikifika ila sijuwi kivipi ila nitajuwa tu nitawapata baadhi yenu. haya Da Yasinta faudu likizo!! kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-82327534802367840982012-07-24T16:05:29.884+02:002012-07-24T16:05:29.884+02:00Uwe na wakati mwema kadala, MUNGU awenanyi daima!!...Uwe na wakati mwema kadala, MUNGU awenanyi daima!!!

nakuonea wivu mwayego!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80675963747540486922012-07-24T14:38:06.828+02:002012-07-24T14:38:06.828+02:00@Yasinta;
Hii ni hoja binafsi na kuipinga na kukiu...@Yasinta;
Hii ni hoja binafsi na kuipinga na kukiuka protokali.
Yaliyosema yamesikika,yaliyosikika yameeleweka na yaliyoeleweka yamehifadhiwa hadi wakati ufaao siku zijazo.
Hadi wakati ufaao siku zijazo asante sana na pumzika kwa raha na furaha.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-15246891025313749852012-07-24T14:21:42.983+02:002012-07-24T14:21:42.983+02:00Ester wala usikonde ...nipatapo kamuda nitafanya h...Ester wala usikonde ...nipatapo kamuda nitafanya hivyo..AHSANTE:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-18092502184247259122012-07-24T14:15:39.402+02:002012-07-24T14:15:39.402+02:00likizo njema dada..naamini utakuwa unakuja kutuchu...likizo njema dada..naamini utakuwa unakuja kutuchungulia huku mara kwa mara...salimia familiaInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.com