tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4610053704894287435..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: KWA NINI URAIA WA NCHI MBILI?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-66204481974035952532016-09-12T00:08:48.495+02:002016-09-12T00:08:48.495+02:00please bring uraia pacha as Peter Owino analysed.
...please bring uraia pacha as Peter Owino analysed.

Said Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-74660681889354415232014-07-27T19:31:40.241+02:002014-07-27T19:31:40.241+02:00Kazi kwa wajumbe wa Bunge la kurekebisha Katiba.Kazi kwa wajumbe wa Bunge la kurekebisha Katiba.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-75487921987363510032014-04-16T03:06:37.306+02:002014-04-16T03:06:37.306+02:00Mie wala huwa hawanihangaishi zaidi ya kuwasuta un...Mie wala huwa hawanihangaishi zaidi ya kuwasuta unafiki. Wameruhusu wahindi na vigogo kuwa nao uraia pacha lakini sisi wanatukatalia. Kwa wale wanaoona kama wamenyimwa tonge wajaribu kujiuliza ni vijana wangapi wa Kitanzania wanatamani kuzaliwa paka Ulaya. Mie siombi wala kumbembeleza. Uraia pacha ni haki yangu na hakuna anayeweza kuizuia na akifanya hivyo ni kwa muda tu. Kinachokera ni pale wale wale wanaotukatalia uraia pacha kutwambia eti tukawekeze nyumbani. Wanashindwa kututofautisha na makada wa CCM waliotamalaki ughaibuni wakisota kiasi cha kujigonga kwa CCM. Je hawa wanaweza kuwekeza Tanzania zaidi ya kujikomba kwa CCM ili wapate namna ya kurudi nyumbani kiulaini baada ya kushindwa kufurukuta huku ughaibuni? Usomi na nafasi yangu hapa ughaibuni wala sibembelezi nyani wala kenge. Siku ikifika ya kutoa uraia pacha watatoa watake wasitake. Ukiona vipi unaingia kule kama TX na kuwaliza. Hivyo nawashauri wenye uchungu na nchi yetu someni kwa sana tena fani kali kali mtarejea kule na kulakiwa kama wafalme. Mfano washaurini vijana wenu wasomee masuala ya gesi na mafuta muoni au mambo ya idadi ya watu na uchumi wa kisasa.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-60555009923888768902014-04-15T20:28:53.811+02:002014-04-15T20:28:53.811+02:00Peter Owino kaeleza kwa lugha nzuri sana Na ambayo...Peter Owino kaeleza kwa lugha nzuri sana Na ambayo kila mtanzania itamgusa,wajumbe waache wivu wa kijinga wapige kura ya yes to urai. pacha, kuhamia nchi nyingine isiwe dhambi Ni kikazi tu nd wajumbe.

Ommy.Anonymousnoreply@blogger.com