tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4450046291128312628..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: TUENDELEZE JUMATATU HII KINAMNA HII:- MFANANISHO!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger17125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-44361133325119764372012-08-28T18:13:01.168+02:002012-08-28T18:13:01.168+02:00@Yasinta;
Ukitaza uso ndiyo majibu yenyewe!@Yasinta;
Ukitaza uso ndiyo majibu yenyewe!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-68997709538309089992012-08-28T13:56:42.502+02:002012-08-28T13:56:42.502+02:00Kaka Malkiory...:-)
Mwal. Mhango. Hiyo kiana ning...Kaka Malkiory...:-)

Mwal. Mhango. Hiyo kiana ningependa kujua ina maana gani?

Remija! karibu sana katika kibaraza hiki. Ahsante, kama nakumbuka vizi nakumbuka si vibaya kumfananisha mtu na marehemu labda inategemea na sehemu unayotoka.
Elly! nawe karibu sana...Kiaana vipi twafanana? Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79644652577769265822012-08-28T13:35:34.611+02:002012-08-28T13:35:34.611+02:00mnafana kiaina na Marehemu ANGELA CHIBALONZA!mnafana kiaina na Marehemu ANGELA CHIBALONZA!Elly Kombenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-33510192779007345042012-08-28T08:49:16.810+02:002012-08-28T08:49:16.810+02:00Kwa maoni yangu sioni kama mnafana hata kidogo. Za...Kwa maoni yangu sioni kama mnafana hata kidogo. Zaidi ya hayo kwa nini mtu akufananishe na Marahemu? Jee huo ni utamaduni wetu?remija mponzinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-40017603206517434022012-08-28T05:28:50.486+02:002012-08-28T05:28:50.486+02:00Mimi sioni kama kweli mnafanana bali kiaina kama w...Mimi sioni kama kweli mnafanana bali kiaina kama wengine walivyosema. Kwa waliomuona kwa karibu akiwa nchini Kenya si rahisi kukubaliana kuwa mnafanana.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-30082752389642050602012-08-27T19:50:55.114+02:002012-08-27T19:50:55.114+02:00Nawaunga mkono waliosema wanafanana!Nawaunga mkono waliosema wanafanana!Malkiory Matiyahttp://www.malkiory.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-67295825830860145342012-08-27T16:15:40.944+02:002012-08-27T16:15:40.944+02:00Kaka Juma Nyumayo!Yaani kweli tumefanana kihivyo d...Kaka Juma Nyumayo!Yaani kweli tumefanana kihivyo duh...labda dada yangu..LOL
Kaka Sam:-)

Chacha! labda kivipi?

Usiye na jina! unaweza kusema ni kipi hasa tulichofanana?
Kaka Ray! Labda nawe nikuulize ni kivipi tumefanana hasa?

Ester! Ni mfanano gani ulipo?

emu3..:-) haiwezekani...
Kaka Mhagama..hata mimi sijui kufananisha na ndio nikaona niombe msaada...Du nitafanana na watu wangapi? Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87893409167578084932012-08-27T15:32:03.443+02:002012-08-27T15:32:03.443+02:00Nimgundua kuwa mimi siku zote ni mtu wa mwisho kug...Nimgundua kuwa mimi siku zote ni mtu wa mwisho kugundua kama wamefanana, sijui kwa nini. Labda sijui kufananisha. Ila nikifika hatua ya kusema wamefanana, nina wasi wasi kama kuna mtu ataweza kuwatofautisha, maana watakuwa wamefanana kweli kweli. Sijui aliyeanza kusema mmefanana aliangalia nini.Pua, midomo, masikio, macho au pua? Ila ukichukua jumla jumla, ninapata ujasiri wa kutosha kusema HAMFANANI ati!!
Ni mtazamo tu...Emmanuel Mhagamahttps://www.blogger.com/profile/16419485229844751882noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-62998667129236549642012-08-27T14:42:25.600+02:002012-08-27T14:42:25.600+02:00Yah kufanana kupo, na huenda mumechangia damu, si...Yah kufanana kupo, na huenda mumechangia damu, sio mbaya...!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-12843374791770405672012-08-27T13:25:28.958+02:002012-08-27T13:25:28.958+02:00kweli lakini...mfanano upo hapokweli lakini...mfanano upo hapoInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89483479601434093702012-08-27T13:04:51.811+02:002012-08-27T13:04:51.811+02:00Siwezi kusema sana lakini kwa hiari ya moyo nalazi...Siwezi kusema sana lakini kwa hiari ya moyo nalazimika kutamka:Ndiyo!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51521712883445790652012-08-27T12:33:50.827+02:002012-08-27T12:33:50.827+02:00Hakika huu ni mfanano makini katika ufananishaji n...Hakika huu ni mfanano makini katika ufananishaji na mkaribiano wa sura za watu katika mchakato wa maisha na mafanikio.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-27215139844911072982012-08-27T12:25:49.269+02:002012-08-27T12:25:49.269+02:00labda kwelilabda kwelio'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51043393970282454502012-08-27T11:47:14.332+02:002012-08-27T11:47:14.332+02:00kwa picha hiyo hapo juu ya huyo dada,kimapozi! kun...kwa picha hiyo hapo juu ya huyo dada,kimapozi! kuna kaufanano fulani.kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-47415163031369222842012-08-27T11:24:57.483+02:002012-08-27T11:24:57.483+02:00Dada Yasinta, kweli duniani watu wawilwawili, ning...Dada Yasinta, kweli duniani watu wawilwawili, ningelitamani kuona 'fingerprints' zenu kama zafanana. Kabla ya kusoma maandishi sikusita kusema ni wewe. Haya tuwasikie wengine wanasemaje kuhusu kufanana kwenu!Juma Thomas Nyumayohttps://www.blogger.com/profile/00779146620178247701noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7491302700921922952012-08-27T11:24:49.413+02:002012-08-27T11:24:49.413+02:00kaka Sam! kwanza karibu sana tena ...Kiana ukiwa n...kaka Sam! kwanza karibu sana tena ...Kiana ukiwa na maana gani? Je unaweza kufafanua?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-65496461458088539062012-08-27T11:21:36.032+02:002012-08-27T11:21:36.032+02:00Kiaina unafanana naye. KAKA SKiaina unafanana naye. KAKA SSAm mbogonoreply@blogger.com