tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post435319555841023152..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: SIJUI TUNAKOKWENDA NI WAPI? AU NI SHETANI ANATAWALA?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-49704541154929549732012-06-04T10:18:48.357+02:002012-06-04T10:18:48.357+02:00Inatisha
Haya ni matokeo ya kutoamini katika utu n...Inatisha<br />Haya ni matokeo ya kutoamini katika utu na ubinaadamu na kutanguliza tamaa na anasa<br />Tuwasamehe kwa kuwa hatupaswi kuwahukumu,tumuombe mola amlaze mahali pema mtoto aliyekatishwa uhai wake.Salehe Msandanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-78742675843898407872012-06-01T19:57:21.542+02:002012-06-01T19:57:21.542+02:00dahh sina la kusemadahh sina la kusemaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/18061868233742276848noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-737634387127097962012-06-01T16:18:38.540+02:002012-06-01T16:18:38.540+02:00mhhhh !!??hii nayo ni hatari yaani mimi nikiwa fa...mhhhh !!??hii nayo ni hatari yaani mimi nikiwa fargha na mama watoto wangu mtoto akilia tunaacha kila kitu tunamwangalia kwanza mtoto huyo yeye anaamua kunyonga?nihatari na wala msimsingizie shatani bure ni akili ya kipimbavu sana maana nikiangalia roho inaniuma sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-90230301387228013262012-06-01T13:17:16.590+02:002012-06-01T13:17:16.590+02:00mama na mtoto wanastahili ulizi katika jamii,ulinz...mama na mtoto wanastahili ulizi katika jamii,ulinzi katika afya zao,ulinzi katika maisha yao,ulinzi katika malezi yao.kuna chombo kimoja zamani kili itwa UMATI,pia wizara ya Afya na ustawi wa jamii,wizara ya wanawake watoto na jiinsia.hizi nitaasisi na vyombo vinavyo weza kusaidia tatizo hili lilo tokea,kwani lina muhusu mama na mtoto.nikweli inasikitisha kwa mtoto mdogo kuuwawa hivyo. wahusika wawajibike siyo kuachia polisi tu na mahakama jamii inatatizo wahusika tokeni maofisini tumieni taalumazenu jamii ina wahitaji tekelezeni majukumu yenu.kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-68621782199631504402012-06-01T09:34:20.561+02:002012-06-01T09:34:20.561+02:00:-(:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-75751115616092658502012-05-31T17:26:44.212+02:002012-05-31T17:26:44.212+02:00Hayuko sawa huyu mama...!! Na hapo ni mtoto wake, ...Hayuko sawa huyu mama...!! Na hapo ni mtoto wake, wa mwingine je?Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-35854449995751690372012-05-31T16:09:28.143+02:002012-05-31T16:09:28.143+02:00Yasinta yaani leo nimeona eti mama mzazi kamchoma ...Yasinta yaani leo nimeona eti mama mzazi kamchoma moto mikono mtoto wa miaka 4 eti kisa kaiba boga akala. Fikiria mtoto ana njaa kaona mlo kaondoka nao ye anamchoma moto. Mungu tuhurumieAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/05428182379486974120noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-43136136448893955712012-05-31T15:07:20.748+02:002012-05-31T15:07:20.748+02:00Khaaaaaa siutani kaka Francis, mmhh Duniani kuna M...Khaaaaaa siutani kaka Francis, mmhh Duniani kuna Maajabu!!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-1086353808491279372012-05-31T14:57:49.915+02:002012-05-31T14:57:49.915+02:00Siku za mwisho zimefika kama mambo ndio haya ...Siku za mwisho zimefika kama mambo ndio haya ,kwani kila siku mambo mapya yanaibuka ndugu zangu tuzidi kumwomba Mungumzee wa matukiodaima habari bila uogahttps://www.blogger.com/profile/11495877636381595121noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-17710563345670822282012-05-31T14:57:00.226+02:002012-05-31T14:57:00.226+02:00Ester yaani nimenungúnika hapa na mwisho nikaona l...Ester yaani nimenungúnika hapa na mwisho nikaona lazima niweka habari hizi hapa. Yaani mama mzazi kabisa kabeba mimba miezi sita na kisha kumzaa mtoto wake na leo anamnyonga bila hata huruma kwa kutaka kuolewa. Je huyo atakayeoana naye hatazaa naye? Malaika kama huyo jamani. Huyu mama lazima atakuwa na shida katika ubongo wake.Nikiwa kama mama imeniuma sana. Na huyo mwingine kamalaika kamwaka na nusu halafu anakaacha mstuni peke yake mpaka mwili unaharibika nakubalina na da´Ester wameingiwa na mashetani hawa wadada/mama.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-69728671725853884472012-05-31T14:48:57.879+02:002012-05-31T14:48:57.879+02:00Mungu wangu, hivi hawa wana mashetani hawa, wala s...Mungu wangu, hivi hawa wana mashetani hawa, wala si akili zao, imenisikitisha sanaaaaInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.com