tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4233290080734057213..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: UNALIKUMBUKA SHAIRI HILI?:- KAMA MNATAKA MALIYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-73224396479431464692022-02-25T09:16:48.926+01:002022-02-25T09:16:48.926+01:00ShairiShairi@babamlezitz....https://www.blogger.com/profile/03137131734172442660noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-25878022610904369842019-10-24T21:24:06.908+02:002019-10-24T21:24:06.908+02:00Tupo tayari vijana kujenga taifa letu
Hatutaki kup...Tupo tayari vijana kujenga taifa letu
Hatutaki kupigana wala kufanya kiburi
Tunataka kuungana tutende mambo vizuri
Jamuhuri yetu....Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/13143180778342266500noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-78557054778596752532019-05-23T05:10:21.801+02:002019-05-23T05:10:21.801+02:00Ama kweli ya kale ni dhahabu,nakumbuka nilikuwa na...Ama kweli ya kale ni dhahabu,nakumbuka nilikuwa napenda sana shule kwa sababu ya kuimba mashairi na walimu walikuwa wanajituma sana Inno14https://www.blogger.com/profile/13492519787811293678noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-62233883586782309172018-11-27T06:18:06.185+01:002018-11-27T06:18:06.185+01:00Kuna lile Shairi la 'Bendera ya Taifa' maa...Kuna lile Shairi la 'Bendera ya Taifa' maarufu "NDEGE HUYU NDEGE GANI?"
Tafadhali kama kunaanayelikumbuka au linapatikana pahala fulani aweke link hapa,

Pia kuna shairi lingine ilikuwa ni beti tatu tu ikiwa inamalizia habari fulani ktk kitabu cha kiswahili darasa la sita kama sikosei, beti mbili za mwanzo ni hizi;-

"1_Sisi vijana hodari, tulio hapa kambini.
Twaishi bila jeuri, ingawa tuko porini.
Twalijenga Jamhuri, kwa jasho letu
Nchini.
Jamhuri letu tukufu, nguzo ni sisi vijana.

2_Nguzo ni sisi vijana, tujengao
Jamhuri.
Hatutaki kupigana, wala kufanya kiburi.
Tunataka kuungana, tutende mambo vizuri.
Jamhuri letu tukufu, nguzo ni sisi vijana.

3_.......!"

Ubeti watatu nimeusahau.
Habari ilikuwa inawahusu vijana waliokuwa kambini, sijui ni vijana wa jeshi la kujenga Taifa wale hata sikumbuki....

Kweli "YA KALE DHAHABU"Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/06063500713646903831noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-25794135438848082192018-11-17T20:48:09.757+01:002018-11-17T20:48:09.757+01:00Shair hili huwa nawaimbia wananguShair hili huwa nawaimbia wananguAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/09885885376002437837noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-16682714684607966282018-05-29T10:37:45.460+02:002018-05-29T10:37:45.460+02:00Sijui nimewaza nini Leo mpaka nimefika hapa. Sijui nimewaza nini Leo mpaka nimefika hapa. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/04239837677880969196noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-21155034969752585772017-01-24T20:03:07.422+01:002017-01-24T20:03:07.422+01:00Ni kweeli na niraha sana kusoma shairi hili nakumb...Ni kweeli na niraha sana kusoma shairi hili nakumbuka mbali sana enzi hizo nilikuwa napenda kachori za sh.10 sinabudi kusema litaendelea kudumu na kywa shairi bora miaka yote kwa kitabu cha kiswahili darasa la nne(4)Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07469720740981294189noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58193666951447107912012-03-25T15:27:19.835+02:002012-03-25T15:27:19.835+02:00Dada hili shairi nimelipenda na linanikumbusha mia...Dada hili shairi nimelipenda na linanikumbusha miaka ya nyuma nilipo kuwa darasa la tatu kama siko sahihi basi mtanirekebisha kwani kipindi hiki elimu ilikuwa raha kwani hata ukienda bila kuvaa viatu huulizwi na pia vitabu hivi vilikuwa vikitufanya tupende kuhudhuria shule na kusoma vitabu malimbali.KAMA NINGEKUWA MSEMAJI KWENYE IDARA YA ELIMU NENGEPENDEKEZA MITAALA YA ZAMANI IRUDI NA KUTUMIKA.ASANTE!Seleman Awadhnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-6542853759682864412012-03-22T16:24:31.653+01:002012-03-22T16:24:31.653+01:00Binti Nangonyani asante mngoni wetu kwa kuonyesha ...Binti Nangonyani asante mngoni wetu kwa kuonyesha kuwa wa kulekule kwa akina monile.Wangoni kwa sanaa ya ngoma,nyimbo na mashairi wapo katika chati ya juu kabisa.Nakumbuka mara ya kwanza kuwafaidi nilipokutana nao kwenye msiba wa watani zao wamakonde.Waliingia usiku mkubwa wako safi na mirindimo yao huku wakiuvamia uwanja kwa ngoma nzito na kuvuruga kila walichokiona mbele yao.Maji yote yalimwagwa na uwanjani pakawa hapatamaniki tena kwa kulala.Kwa hiyo wewe mrembo wao uliyehamishiwa ughaibuni katika ardhi ya waswedi leo hii kuja na mashairi kila ukiamka hainipi homa wala presha na zaidi sana ni vunja mbavu hadi Ruhuwiko.Wasalimie sana shemeji zetu huko na waambie kuwa:"JASIRI HAACHI ASILI NA MUACHA ASILI NI HASIDI NA HANA AKILI".ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-83635602011780375112012-03-22T14:19:46.389+01:002012-03-22T14:19:46.389+01:00Kweli dada Yasinta, shairi hili , enzi hizo....lil...Kweli dada Yasinta, shairi hili , enzi hizo....lilikuwa kama nyimbo, na kumbuka enzi hizo vitabu vichache...lakini mambo ya makubwa.
Shukurani ndugu yangu!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-17109248123102389762012-03-22T11:40:34.057+01:002012-03-22T11:40:34.057+01:00Hakika leo ni moja ya zile siku ambazo huwa nakuwa...Hakika leo ni moja ya zile siku ambazo huwa nakuwa na furaha sana. Maana shairi hili lilikuwa ni kama vile sala ya baba yetu kwangu mpaka nikawa nakatazwa kuliimba/kulisema. Ahsante kwa kunikumbusha nashangaa sijui kwanini sikukumba mapema?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com