tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4108470616886391732..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: TOFAUTI YA AINA HIZI ZA UPUPU WA KUWASHA NA USIOWASHA MANGATUNGU (velvet beans au cowitch beans)Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-76928501795792934802012-02-07T07:54:08.409+01:002012-02-07T07:54:08.409+01:00Asante dada nilirudi hapa kuwaonesha watu ninapose...Asante dada nilirudi hapa kuwaonesha watu ninaposema mangatungu na maanisha nini? Wamenielewa sana!Mtesukahttps://www.blogger.com/profile/05582068729255091489noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-16727350937105793942011-12-22T12:57:17.903+01:002011-12-22T12:57:17.903+01:00Lakini jamani kwani jina la mangatungu ni kiswahil...Lakini jamani kwani jina la mangatungu ni kiswahili au kilugha cha kwenu kwani nijuwavyo sasa kuwa upup ni kiswahili na mangatungu ni lugha yakweni maama mapishi yake mtiririko wake ni mmoja mbona dada yasinta haujamaliza maada hii kwani umensikia mwita alichosema hapo? toa maamuzi tofauti yake nini hapoIssack che Jiahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87556079391255740422011-12-20T14:13:10.399+01:002011-12-20T14:13:10.399+01:00Wanaosema upupu ni mtamu basi haujawawasha .Kitu m...Wanaosema upupu ni mtamu basi haujawawasha .Kitu mangatungu ni noma ina wanga wa kutosha.Na ukiipata ile original kama hauna maji ya kunywa pembeni yanabana ile mbaya.Therefore mangatungu na upupu ni vitu viwili tofauti na upupu hauliwi ila mangatungu ndiyo yanayoliwa.Huo ni mtazamo wanguMwita Hardsonnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-76416783571077950642011-12-20T13:16:18.906+01:002011-12-20T13:16:18.906+01:00Hi jamani jana nlikuwa sipo kiofisi ila leo nimefi...Hi jamani jana nlikuwa sipo kiofisi ila leo nimefika lazima nichungulie MAISHA du kumbe wenzangu jana wamekula sana upupu ni kweli kabisa upup upo aina hizo mbili una washa na usiowasha ila aina hizi zote zinaliwa.Ila kuna kazi kwa kuutayarisha unajuwa upupu wa kuwasha ni mdogo sana na huu usiowasha ni mkubwa na mpana sasa kinachotakiwa wakati wa kuutayarisha ndipo kazi kubwa, kwanza unapikwa na maganda mpaka yale maganda yanawiva ,yakiwiva unaumenya na kisha unausafisha mpaka yale maganda yote yatoke ,hapo ndipo unaanza kuupika tena,unachemka kila baada ya muda unamwaga yale maji ,unafanya hivyo mpaka kama mara sita nikazi ya kutwa mzima alafu utaona upo mweupe au ule wa kuwasha unaweza uona mweusi si sana ,hivyo kujuwa kama umewiva unaangalia ndani ukiona kiini bada cha njano juwa bado ila ukisha ona unameguka kiurahisi basi tayari kwa kuliwa ,kiungo kikubwa cha chakula hiki cha upupu ni chumvi ile kachumbari ni kama kiungo mbadala au makorombwezo kwa wale wenye uwezo,Nilimuliza bibi kwanini chakua hiki utengenezaji wake ni mrefu Na kwanini walifanya kuwa chakula alisema hiki chakula kiliandaliwa miaka hiyo kwaajili ya njaa mwaka wa njaa ndiyo chakula kikuu kwa maeneo ya kule MASASI,NACHINGWEA NA HATA NEWALA mwaka 1945 njaa ilikuwa imeenea na hali ya hewa ilikuwa mbaya na mwaka ukiwa na ukamwe huwa njaa na madudu kama haya huwa yana kuwa meni ila kwasasa kama hayo mangatungu watu wanayapanda kama zao na kisha upup ni biashara kubwa kwa pale sokoni mjini masasi na vijiji vyote vya masasi ukiwa na upupu wewe ni pesa kwa kwenda mbele ila kwetu tumesifika kwa kula vitu vya ovyo hii sijajuwa ni kwanini kwani hata wale PANYA MWITU NAO NI DILI JE DADA UNAIJUWA HIYO
KWA HERI CHE JiahIssack jiahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-86320501533813066922011-12-20T13:16:18.464+01:002011-12-20T13:16:18.464+01:00Hi jamani jana nlikuwa sipo kiofisi ila leo nimefi...Hi jamani jana nlikuwa sipo kiofisi ila leo nimefika lazima nichungulie MAISHA du kumbe wenzangu jana wamekula sana upupu ni kweli kabisa upup upo aina hizo mbili una washa na usiowasha ila aina hizi zote zinaliwa.Ila kuna kazi kwa kuutayarisha unajuwa upupu wa kuwasha ni mdogo sana na huu usiowasha ni mkubwa na mpana sasa kinachotakiwa wakati wa kuutayarisha ndipo kazi kubwa, kwanza unapikwa na maganda mpaka yale maganda yanawiva ,yakiwiva unaumenya na kisha unausafisha mpaka yale maganda yote yatoke ,hapo ndipo unaanza kuupika tena,unachemka kila baada ya muda unamwaga yale maji ,unafanya hivyo mpaka kama mara sita nikazi ya kutwa mzima alafu utaona upo mweupe au ule wa kuwasha unaweza uona mweusi si sana ,hivyo kujuwa kama umewiva unaangalia ndani ukiona kiini bada cha njano juwa bado ila ukisha ona unameguka kiurahisi basi tayari kwa kuliwa ,kiungo kikubwa cha chakula hiki cha upupu ni chumvi ile kachumbari ni kama kiungo mbadala au makorombwezo kwa wale wenye uwezo,Nilimuliza bibi kwanini chakua hiki utengenezaji wake ni mrefu Na kwanini walifanya kuwa chakula alisema hiki chakula kiliandaliwa miaka hiyo kwaajili ya njaa mwaka wa njaa ndiyo chakula kikuu kwa maeneo ya kule MASASI,NACHINGWEA NA HATA NEWALA mwaka 1945 njaa ilikuwa imeenea na hali ya hewa ilikuwa mbaya na mwaka ukiwa na ukamwe huwa njaa na madudu kama haya huwa yana kuwa meni ila kwasasa kama hayo mangatungu watu wanayapanda kama zao na kisha upup ni biashara kubwa kwa pale sokoni mjini masasi na vijiji vyote vya masasi ukiwa na upupu wewe ni pesa kwa kwenda mbele ila kwetu tumesifika kwa kula vitu vya ovyo hii sijajuwa ni kwanini kwani hata wale PANYA MWITU NAO NI DILI JE DADA UNAIJUWA HIYO
KWA HERI CHE JiahIssack jiahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-50762920892971517602011-12-20T03:21:08.144+01:002011-12-20T03:21:08.144+01:00Hodi jamani, za siku tele? poleni kwa michakato ya...Hodi jamani, za siku tele? poleni kwa michakato ya maisha.

Niliadimika sababu ya majukumu ya kiutayarishaji.

Naulizia kama upupu wa aina yoyote umebaki, au njia ipi niifuate ili nifike ulipo?.

Tehe...siuogopi.Yusuph Mchariahttp://www.mtayarishaji.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-55193113499856308482011-12-19T15:06:07.239+01:002011-12-19T15:06:07.239+01:00@ Ray, tehe teh teh@ Ray, tehe teh tehchibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34900546106702187222011-12-19T12:05:26.622+01:002011-12-19T12:05:26.622+01:00Duh;hapa ni vigezo na masharti kuzingatiwa!!Duh;hapa ni vigezo na masharti kuzingatiwa!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com