tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4056344293811045582..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MDADA KAONA KUWA MODE KWA SIKU MOJA SI MBAYA..AU SIJUI NIBADILI KAZI:-)Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-39094012118110400242013-06-24T17:33:43.881+02:002013-06-24T17:33:43.881+02:00Oh! Kumbe. ..kaka Ray ahsante kqa ufafanuzi ubari...Oh! Kumbe. ..kaka Ray ahsante kqa ufafanuzi ubarikiwe. Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-46170473946565283282013-06-24T15:20:36.925+02:002013-06-24T15:20:36.925+02:00Binadamu mmoja:Yasinta
Yasinta huyu ambaye ni bint...Binadamu mmoja:Yasinta
Yasinta huyu ambaye ni binti/mama wa Kitanzania mwenye asili ya Kingoni ni binadamu mwenye ubunifu/vipaji visivyo na idadi(lukuki) kamili.
Hongera sana wewe Yasinta binti Dadi Ngonyani.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58795725990329841842013-06-24T14:25:38.534+02:002013-06-24T14:25:38.534+02:00kaka Ray? unaweza kugfafanua hapa? natanguliza AHS...kaka Ray? unaweza kugfafanua hapa? natanguliza AHSANTE ZANGU:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-35196730192215178292013-06-24T13:46:38.986+02:002013-06-24T13:46:38.986+02:00Binadamu mmoja na vipaji lukuki??Binadamu mmoja na vipaji lukuki??ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-78332832629311519332013-06-23T19:58:44.895+02:002013-06-23T19:58:44.895+02:00Kachiki, kaka justin, dada mkuu msaidizi, usiye n...Kachiki, kaka justin, dada mkuu msaidizi, usiye na jina na Manka ahsante na samahani kuchelewa kujibu sehemu niliyokuwepo haikuqezekana..pamoja daima.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-32564266792707289062013-06-23T01:27:43.670+02:002013-06-23T01:27:43.670+02:00Picha zote umependeza sana Dada Yasinta.Nakutakia ...Picha zote umependeza sana Dada Yasinta.Nakutakia mapumziko mema wewe pamoja na family yako.Enjoy....Mankanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-66182554800566393782013-06-22T10:51:50.812+02:002013-06-22T10:51:50.812+02:00Dada Mija umeongea name nakuunga mkono kweli hiyo ...Dada Mija umeongea name nakuunga mkono kweli hiyo picha ya kwanza nadhani wakina Camilla na Erick walisogea mbali kama sio kukimbia mana hapo ni ku-koswakoswa na mama! Nadhani uliset camera ikupige mana nani angekusogelea hivyo sio rahisi eh! Haya pia tunaomba picha zaidi. Nakutakia mapumziko mazuri wakati huu wa summer. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-13601402664961409382013-06-22T10:10:56.212+02:002013-06-22T10:10:56.212+02:00Ongeza picha zaidi Yasinta...
Ila picha ya kwanza...Ongeza picha zaidi Yasinta...

Ila picha ya kwanza imekaa ki-kareti zaidi..

Kumbe fani unaziweza Model Yasinta, hongera sana mwanakwetu.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34884847639349461522013-06-21T18:25:26.318+02:002013-06-21T18:25:26.318+02:00hapo umtokelezea model wa ukweli! nikija wiki ijay...hapo umtokelezea model wa ukweli! nikija wiki ijayo ntakupa interview ya kujiunga na model wa Swahili Abroad! Bila shaka utashinda! haaaa!haaa!haaaa!Justin Kasyomehttps://www.blogger.com/profile/07733382020059371932noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-90953301789239405112013-06-21T16:51:17.949+02:002013-06-21T16:51:17.949+02:00hapana hujachemsha kabisaa..napenda na kufurahi vi...hapana hujachemsha kabisaa..napenda na kufurahi vituko vyako@Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-67207853055794360552013-06-21T09:32:55.006+02:002013-06-21T09:32:55.006+02:00Usiye na jina hapo juu kwanza ahsante. Pili hiyo p...Usiye na jina hapo juu kwanza ahsante. Pili hiyo picha ya kwanza nimesimama na hiyo soio gauni ni sweta na ni mbwembwe tu
Kwa nini sitaweza hiyo kazi? Kwami hujawahi kuona model wana kofia?

Kachiki! Usicheke sana..
Vipi nomechemsha au?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-8884944590959010642013-06-20T23:14:02.839+02:002013-06-20T23:14:02.839+02:00Yaaani KADALA Leo umeamua saana..yaani kila kitu c...Yaaani KADALA Leo umeamua saana..yaani kila kitu chako leo..nachekatuu nikiangalia simu smna mbavu..huku kumependeza pia...ok nitarudi....Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-43662915606481802292013-06-20T23:03:43.257+02:002013-06-20T23:03:43.257+02:00Hongera model Yasinta, ila hiyo picha ya kwanza mi...Hongera model Yasinta, ila hiyo picha ya kwanza mie sijaelewa umesimama au? Mbona miguu hivyo? Na hiyo ya juu ni gauni umekuja au blauzi? Mana siielewi elewi! Nifahamishe Yasinta. Ila duh u model sijui kama utauweza mana na kofia tena kichwani, duh.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-5681367360893696242013-06-20T23:03:41.866+02:002013-06-20T23:03:41.866+02:00Hongera model Yasinta, ila hiyo picha ya kwanza mi...Hongera model Yasinta, ila hiyo picha ya kwanza mie sijaelewa umesimama au? Mbona miguu hivyo? Na hiyo ya juu ni gauni umekuja au blauzi? Mana siielewi elewi! Nifahamishe Yasinta. Ila duh u model sijui kama utauweza mana na kofia tena kichwani, duh.Anonymousnoreply@blogger.com