tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4033205270414861094..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: WATOTO NAO WANAWEZE WAKIPEWA MASOMA....KAZI ZA MIKONO YA WANETU!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-11047673569083414362013-06-18T08:25:16.453+02:002013-06-18T08:25:16.453+02:00Nimerudi tena. Jamani hii sanaa haiishi hamu kuang...Nimerudi tena. Jamani hii sanaa haiishi hamu kuangalia.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-19826286267801640262013-06-15T20:17:35.695+02:002013-06-15T20:17:35.695+02:00Kazi nzuri sana Mungu aendelee kubariki kazi za mi...Kazi nzuri sana Mungu aendelee kubariki kazi za mikono yenu.. Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-81389740830108384082013-06-14T11:23:54.571+02:002013-06-14T11:23:54.571+02:00kaka Said, dada mkuu msaidizi, emu.3 na kaka ´Ray....kaka Said, dada mkuu msaidizi, emu.3 na kaka ´Ray..ahsanteni sana ,,,yani wamenipunguzi ghalama ya kununu mito ta kupamba nyumba najisikia fahari sana. Namshukuru Mungu pia walimu wao. Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-63269604008853411272013-06-13T14:56:15.842+02:002013-06-13T14:56:15.842+02:00Kazi za Nyumbani za Kila Siku kwa Ajili ya Watoto
...Kazi za Nyumbani za Kila Siku kwa Ajili ya Watoto

“Wazazi wa leo wenye shughuli nyingi huwa walegevu kuhusu kusaidiwa kazi za nyumbani na watoto wao,” laripoti The Toronto Star. Ijapokuwa kazi za kila siku “hazitawahi kuwa jambo la kutangulizwa na watoto,” asema Jane Nelsen, mwandishi wa Positive Discipline, kazi hizo “huwafanya watu wajitegemee na kujistahi.” Kulingana na uchunguzi katika gazeti Child, kazi fulani halisi za kila siku katika nyumba kwa ajili ya watoto wenye umri wa kati ya miaka miwili hadi mitatu zingeweza kutia ndani kuokota vichezeo na vilevile kuweka nguo chafu ndani ya kikapu. Watoto walio na umri wa kati ya miaka mitatu hadi mitano wanaweza kupanga meza, kupeleka vyombo kwenye beseni ya kuoshea vyombo, na kusafisha mahali wanapochezea. Wale walio na umri wa kati ya miaka 5 hadi 9 wanaweza kujitandikia vitanda vyao, kuokota majani, na kung’oa magugu, ilhali walio na umri wa kati ya miaka 9 hadi 12 wanaweza kufanya kazi kama vile kuosha na kukausha vyombo, kutupa takataka, kukata nyasi, na kufagia mkeka. Nelsen aongezea kwamba “kunakuwa na matokeo mazuri unapowawekea muda wa kumaliza kazi hizo.”ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-82576140545460146372013-06-13T14:13:30.182+02:002013-06-13T14:13:30.182+02:00Yan nimeipenda hiyo tupo pamoja mpendwaYan nimeipenda hiyo tupo pamoja mpendwaemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-72882341304106035792013-06-13T11:34:02.637+02:002013-06-13T11:34:02.637+02:00Mmh...mmh!! Hawa watoto wanakoelekea utakuja tuamb...Mmh...mmh!! Hawa watoto wanakoelekea utakuja tuambia...

Hongereni sana kwa kazi nzuri za mikono yenu..

God bless..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-86891485762847457202013-06-13T11:16:58.824+02:002013-06-13T11:16:58.824+02:00Ni fahari watoto kujifunza kazi za mikono kama uju...Ni fahari watoto kujifunza kazi za mikono kama ujuzi wa ziada dhidi ya masomo ya kawaida wanayofundishwa shuleni. Kwa mifano hiyo ya kazi zao nzuri ni dhahiri kuwa wanaweza. VIPAJI NA VIPAWA VYA WATOTO VIKIENDELEZWA NI URITHI MKUBWA KWA WATOTO KUJIWEZESHA WENYEWE PALE WATAKAPOKUWA WAKUBWA.Said Kamottahttps://www.blogger.com/profile/10139276207142011271noreply@blogger.com