tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post3510396649195545174..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: HIVI NDIVYO MAPISHI YA NANGONYANI YALIVYOKUWA JANA JIONI SAMAKI WA KIHINDI!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-73054567261780158182013-10-11T00:34:51.160+02:002013-10-11T00:34:51.160+02:00Usiye na jina wala usikonde samaki yupo njiani..mi...Usiye na jina wala usikonde samaki yupo njiani..mimi nilikula kwa wali..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-59816085706669834662013-10-09T13:26:01.009+02:002013-10-09T13:26:01.009+02:00Jamani jamani hicho chakula jamani! Huyo samaki ni...Jamani jamani hicho chakula jamani! Huyo samaki nibakishie kipande change kwa kweli na rosti yake, sijui ulikula na wali au mkate? ukiweza unipostie kwa anwani ile ile. Siku njema.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-72235629227974660572013-10-09T12:14:08.619+02:002013-10-09T12:14:08.619+02:00Ndugu yangu Ray! ni kweli chakula kilikuwa na ladh...Ndugu yangu Ray! ni kweli chakula kilikuwa na ladha na harufu mpaka kilipoteremka tumboni...<br /><br />Kaka Salumu! Hahahaaa umenichekesha kweli ..hapana nyanya bado zipo na wala usiache kuja kulaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-29663978744315380232013-10-08T17:17:09.828+02:002013-10-08T17:17:09.828+02:00Da Yasinta, huo mchuzi mwekundu sana nadhani tomat...Da Yasinta, huo mchuzi mwekundu sana nadhani tomato zako zote za shambani umezimalizia hapo. Vipi ulisema utanitumia email, kimya tuu. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-166414572345454102013-10-08T17:11:47.683+02:002013-10-08T17:11:47.683+02:00Kwa kweli ni mlo wenye hadhi kamili kwa ladha mari...Kwa kweli ni mlo wenye hadhi kamili kwa ladha maridhawa iliyohanikizwa na harufu yenye mvuto kwa walaji na familia!!Hongera sana!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com