tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post3391181537959600668..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: Wanafunzi hawa wanafanyishwa vibaruaYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34041706054298337982012-06-07T12:01:19.123+02:002012-06-07T12:01:19.123+02:00hizi kazi nakumbuka nimezifanya sana pia, walimu w...hizi kazi nakumbuka nimezifanya sana pia, walimu wanasema zinmjenga mwanafunzi kuwa Imara, sina uhakika na hilo, je! walimu wanasemaje kuhusu hilo??? mimi huruma sana kuhusu wanafunzi, tena mikoani huwa kuna baridi sana, utakuta wanafunzi wanatetemekaaaa, lakini wapo tu na mizigo, au kubeba matofali ya walimuInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-14098109819064582442012-06-06T18:12:35.593+02:002012-06-06T18:12:35.593+02:00Mimi ningesema ni kufuli la maisha...wazazi wanase...Mimi ningesema ni kufuli la maisha...wazazi wanasema mwanangu kaenda shule kupata elimu kumbe anafanya kazi kwa mwalimu...nakumbuka hizi kazi nimezifanya sana kuchota maji, kulima shamba la mwalimu, kufagia na pia hata kulea watoto wao... nakajua hizi kazi siku hizi hazipo kumbeYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80798227482125448982012-06-06T17:42:29.591+02:002012-06-06T17:42:29.591+02:00Hapa sasa tuseme elimu ni ufunguo wa maisha au kuf...Hapa sasa tuseme elimu ni ufunguo wa maisha au kufuli la maisha?ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com