tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post3344849379417471266..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: WIKI HII TUANZE NA KUTEMBELEA ALIKOZALIWA KAPULYA WENU KIJIJI CHA LUNDO/ WILAYA YA NYASAYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-26663810010673404922016-02-16T11:49:56.650+01:002016-02-16T11:49:56.650+01:00Kaka Mhango uli bwanji!
Nilijua tu utafurahia hiy...Kaka Mhango uli bwanji!<br />Nilijua tu utafurahia hiyo kumbukumbu pia. Kuhusu ziwa Nyasa kuwa ni lenye samaki wa aina mbalimbai duniani hilo sikulifanyia utafiti..Ahsante kwa taarifa. Nakubaliana nawe hao maksai ni huruma juu ya huruma ni kweli inabidi hili jambo lifanyiwe kazi.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-74610115027751860822016-02-15T23:52:27.649+01:002016-02-15T23:52:27.649+01:00Kapulya pulika, umenikumbusha mbali dugu yangu. Ha...Kapulya pulika, umenikumbusha mbali dugu yangu. Hata ndugu Mbele atapenda hii kitu bila shaka. Je wajua kuwa ziwa Nyasa ndilo ziwa lenye samaki aina mbali mbali kuliko maziwa yote duniani?<br />Ubarikiwe na kuwe na kumbukumbu njema ingawa hao maksai nawaonea huruma. Kuna haja ya kununua matrekta mkaachana na utesaji huu wa wanyama.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com