tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post3311117991039380807..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: JUMAMOSI ...UJUMBE WANGU NI HUU....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-74805850438314130102013-04-21T14:46:08.344+02:002013-04-21T14:46:08.344+02:00Ndugu zangu ahsanteni kqs mchango wenu...tupo pam...Ndugu zangu ahsanteni kqs mchango wenu...tupo pamoja...<br /><br />Usiye na jina wa 2:05 pm sio hivyo michakato ni mingi tu ila nipoYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-56307464566699286032013-04-21T14:05:27.587+02:002013-04-21T14:05:27.587+02:00Yasinta siku hizi huchangii comments, ukishaandika...Yasinta siku hizi huchangii comments, ukishaandika hiyo mada ndio basi. Upo lakini? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-18397193233282167122013-04-21T02:07:49.956+02:002013-04-21T02:07:49.956+02:00Da Yacinta mimi sikubaliani kabisa nawe. Kwanini k...Da Yacinta mimi sikubaliani kabisa nawe. Kwanini kumsingizia Mungu hata kwenye upuuzi? Hivi wabakaji, mafisadi, wauaji, wababaishaji na watenda maovu wote ni mpango wa Mungu? Ingekuwa hivyo basi asingetoa amri kumi. Kwa ufupi ni kwamba alipopewa akili tofauti na wanyama, mwanadamu alianza kuwajibika kwa matendo yake. Nitatoa mfano toka nyumbani. Hivi kweli umaskini wa watanzania ni mpango wa Mungu au wa kutengenezwa na binadamu waroho na wenye roho mbaya wasioona mbali? Hamuwezi kupewa raslimali zote hizo na Mungu halafu akajipinga. Tafakarini upya jamani.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-62299975243570194732013-04-20T23:34:45.856+02:002013-04-20T23:34:45.856+02:00Asante sana KADALA kwa ujumbe mzuri....J'Mosi ...Asante sana KADALA kwa ujumbe mzuri....J'Mosi iwe njema kwako na familia pia.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-57906975655207687522013-04-20T16:37:40.256+02:002013-04-20T16:37:40.256+02:00maneno mazuri sana mimi peke yangu hapa sijiamini ...maneno mazuri sana mimi peke yangu hapa sijiamini sijui ni kwa nini sijui ni malezi au nini najiona niko down saa zote sijui kwa nini Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-24854603680116417552013-04-20T14:32:45.615+02:002013-04-20T14:32:45.615+02:00Ni kweli Yasinta. Mungu atusaidie mana kwa akili z...Ni kweli Yasinta. Mungu atusaidie mana kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana kuepukana na hayo, ila kwa uwezo wa Mungu tunaweza na kushinda. Ubarikiwe sana na ujumbe huu mzuri sana na wa kutia moyo. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80415054758776395702013-04-20T12:35:30.023+02:002013-04-20T12:35:30.023+02:00KABISA DADA YASINTA, UMENENA.....UJUMBE WAKO NI MZ...KABISA DADA YASINTA, UMENENA.....UJUMBE WAKO NI MZURI NIMEUPENDA!Baraka Chibiritihttps://www.blogger.com/profile/13676316022327553398noreply@blogger.com