tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post3191393645578088108..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: PALE HALI YA HEWA INAPOBADILIKA...LEO ASUBUHI ILIVYOKUWA/DET SNÖAR!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7221250746364183482015-12-29T19:21:42.919+01:002015-12-29T19:21:42.919+01:00Kaka Salumu ni kweli "tabia nchi" ila ha...Kaka Salumu ni kweli "tabia nchi" ila hata hivyo watu hatuna shukrani. ...sasa wanalalamika wanataka joto/jua.<br /><br />Usiye na jina wa 4.01 Pm...nilishindwa kujipiga picha huku nikikimbia. ..xmas njema kwako pia na mwaka mpya 2016 unapenda...Nachukua hii nafasi kukushukuruni wote kwa michango yenu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-64606951693896986932015-12-29T16:01:14.258+01:002015-12-29T16:01:14.258+01:00Hongereni sana na snow! mana msipoiona mnapooza hu...Hongereni sana na snow! mana msipoiona mnapooza huko majuu! hahaha, si unajua mazoea. Mbona sijakuona kwenye huzo picha mana umesema unakimbia ila nimejaribu kucheki sijamuona yasinta?<br /><br />Heri ya Christmass na mwaka mpya 2016 mpendwa wetu na dada.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34228000475052188832015-12-29T03:14:23.700+01:002015-12-29T03:14:23.700+01:00Kwa kweli mwaka huu baridi haijawa kali kiasi hich...Kwa kweli mwaka huu baridi haijawa kali kiasi hicho. hii inadhihirisha mabadiliko ya "Tabia nchi" kama wasemavyo. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.com