tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post3101041933053269091..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: BADO NIPO SONGEA NA NIPO SALAMA..KHERI YA MWAKA MPYA 20113!!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-26413575188663125792013-01-12T13:42:20.671+01:002013-01-12T13:42:20.671+01:00Ahsante baby kumbe upo Bongo? karibu sana nyumbani...Ahsante baby kumbe upo Bongo? karibu sana nyumbani hope magimbi na matembele umeyala kwa kujinafasi!!
Nakutakia heri ya mwaka mpya pia.Penina Simonnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-49738311655956818742013-01-12T13:41:15.064+01:002013-01-12T13:41:15.064+01:00Dear Kapulya,
Happy New Year 2013! I wish a very p...Dear Kapulya,
Happy New Year 2013! I wish a very prosperous year full of grace, peace and great success.

John Fisher Kanenenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-9170548155573980502013-01-12T13:39:43.503+01:002013-01-12T13:39:43.503+01:00ok nami nakutakia mwaka mpya mwema ndugu yangu,vp...ok nami nakutakia mwaka mpya mwema ndugu yangu,vp songea kwemaJustine Magottinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-64921640811324382692013-01-12T12:59:20.095+01:002013-01-12T12:59:20.095+01:00Usiye na jina hakuna shida ...sasa mbona sijakuona...Usiye na jina hakuna shida ...sasa mbona sijakuona. kwa hiyo itabidi uje hapa nyumbani uchukue haya mapochopocho..:-)

emu3:- hii itabidi nifanye ila nitafanya safari nyingine kwani inahitaji muda...ahsante kwa wazo

Kaka Ray:- Ahsante nawe kwa kuåita hapa.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-49998319177388208652013-01-05T10:24:32.106+01:002013-01-05T10:24:32.106+01:00Asante sana!Asante sana!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-60374637668680934452013-01-03T09:28:15.834+01:002013-01-03T09:28:15.834+01:00Na weye pia, mpendwa hebu fanya tafiti za mila na ...Na weye pia, mpendwa hebu fanya tafiti za mila na desturi za huko, za ndoa na unyago,...ni wazo tu mpendwaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-30915952532325259582013-01-02T19:28:20.365+01:002013-01-02T19:28:20.365+01:00Heri ya mwaka mpya 2013 nawe. Tunashukuru sana dad...Heri ya mwaka mpya 2013 nawe. Tunashukuru sana dada Yasinta. kusikia uko salama na unaendelea kujichana madikodiko ya nyumbani Tz. Tunaomba utuletee nasisi hivyo vyakula. Mbona utanikuta airport nasubiri kukupokea siku utakayorudi, ili nichukue vyakula vyangu. Furahia likizo yako TZ.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-3419427172117006402013-01-02T19:28:11.254+01:002013-01-02T19:28:11.254+01:00Heri ya mwaka mpya 2013 nawe. Tunashukuru sana dad...Heri ya mwaka mpya 2013 nawe. Tunashukuru sana dada Yasinta. kusikia uko salama na unaendelea kujichana madikodiko ya nyumbani Tz. Tunaomba utuletee nasisi hivyo vyakula. Mbona utanikuta airport nasubiri kukupokea siku utakayorudi, ili nichukue vyakula vyangu. Furahia likizo yako TZ. Anonymousnoreply@blogger.com