tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2897260621614311530..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NIMELIPENDA GAUNI HILI JAMANI..!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-78972417082908157712012-08-16T08:53:00.752+02:002012-08-16T08:53:00.752+02:00"Acha tuone na kamwe tusifikirie kuvuka daraj..."Acha tuone na kamwe tusifikirie kuvuka daraja kabla ya kulifikia."ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-84320254452094590142012-08-16T08:52:02.421+02:002012-08-16T08:52:02.421+02:00Kwa heshima na staha kwenu dada zangu wapendwa nas...Kwa heshima na staha kwenu dada zangu wapendwa nasema:
Acha tuone na kamwe tufikirie kuvuka daraja kabla ya kulifikia.
Salamu!!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-2514363933152985792012-08-15T20:22:46.227+02:002012-08-15T20:22:46.227+02:00Kaka Ray Njau, Yamezingatiwa ndiyo maana mimi na d...Kaka Ray Njau, Yamezingatiwa ndiyo maana mimi na da'Edna Kiboma tukasema itakuwa zaidi ya huyo!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-74730340336706453472012-08-15T17:09:46.463+02:002012-08-15T17:09:46.463+02:00@Yasinta;
Katika chaguo la mitindo ya mavazi kwa w...@Yasinta;
Katika chaguo la mitindo ya mavazi kwa wanawake masharti na vigezo kwa maumbile ya mwili huzingatiwa na siyo suala kusema tu mtu atapendeza.
Je wewe maumbile yako asilia yanakidhi vigezo vya vazi husika au kwa ridhaa na shauku ya moyoni umeamua kuulazimisha moyo wako uhisi kuwa hili ndilo chaguo jema??????????ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-74871826859273994532012-08-15T14:41:38.795+02:002012-08-15T14:41:38.795+02:00Kaka Ray! ni kweli nikijaribu nitaona uzuri wake.....Kaka Ray! ni kweli nikijaribu nitaona uzuri wake...

Dada Edna! kwanza karibu tena. Na halafu nashukuru kwa kuungana nasi..

Rafiki wa hiari! Ahsante sana na wala usikonde nikishona picha lazima muione:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-10061102525336712802012-08-15T06:35:41.144+02:002012-08-15T06:35:41.144+02:00Usitie shaka rafiki yangu utapendeza pia, tena san...Usitie shaka rafiki yangu utapendeza pia, tena sana tu! Usisahau kutuwekea picha yakoRafikio wa hiarinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-12087201444553695192012-08-14T21:27:34.936+02:002012-08-14T21:27:34.936+02:00Hata mimi nimelipenda.
Namuunga mkono huyo alosema...Hata mimi nimelipenda.
Namuunga mkono huyo alosema utapendeza zaidi hata ya huyu.
EDINA-MIKAELA JOHNSENhttps://www.blogger.com/profile/01987174884678238070noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-21992909913177894962012-08-14T18:43:41.581+02:002012-08-14T18:43:41.581+02:00Daima ajaribuye hufanikiwa na muoga katika kujarib...Daima ajaribuye hufanikiwa na muoga katika kujaribu si mdau katika mchakato wa maisha na mafanikio.Acha tuone.................................................................................na tutajua kilifanya sita na tisa zifanane kwa kutofautiana.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-84945791482822285192012-08-14T17:43:24.128+02:002012-08-14T17:43:24.128+02:00Kachiki! Ahsante kwa kunipa moyo ntashona tu ww ng...Kachiki! Ahsante kwa kunipa moyo ntashona tu ww ngoja...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51263714523524590692012-08-14T17:20:05.597+02:002012-08-14T17:20:05.597+02:00Kadala ninauhakika itakupendeza zaidi ya huyo dada...Kadala ninauhakika itakupendeza zaidi ya huyo dadangu!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com