tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2658627575638419019..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: SIKU YA GULIO KATERERO!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-24642074218905242692022-11-07T18:29:05.380+01:002022-11-07T18:29:05.380+01:00Nimeipenda hii 😂Nimeipenda hii 😂Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-26929271828725063342021-10-10T06:57:08.489+02:002021-10-10T06:57:08.489+02:00Vinapatikana wapi aisee nimekumbuka mbali sanaVinapatikana wapi aisee nimekumbuka mbali sanaBarakahttps://www.blogger.com/profile/08485821825347019226noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-11509136183184383072012-05-30T02:29:23.021+02:002012-05-30T02:29:23.021+02:00Nitumie email yako haraka lau niwanusuru wanangu. ...Nitumie email yako haraka lau niwanusuru wanangu. Maana wanakuwa wakanada kuliko wabongo kusema ule ukweli. Samahani kwa kuchelewa kujibu.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-23053155880674984912012-05-23T13:51:28.715+02:002012-05-23T13:51:28.715+02:00ndugu zangu wapendwa hakika ya kale ni matamu yaan...ndugu zangu wapendwa hakika ya kale ni matamu yaani huwa nikikumbuka tu shule ya msingi basi nachukua vitabu tulivyokuwa tunasoma na kusoma basi ni raha tu. Halafu kama alivyosema Mwl. Hata mimi nawasomea wanangu au wao mara nyingie wananisomea:-) ..Mwl. Mhango.labda tuwasiliane:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-50989123928594938352012-05-23T02:50:14.355+02:002012-05-23T02:50:14.355+02:00We Yacinta! Una nakala ya vitabu hivi? Kama unavyo...We Yacinta! Una nakala ya vitabu hivi? Kama unavyo naomba tupange unitumie lau watoto wangu waliozaliwa huku Amerika wavisome hata kwa lazima. Wakati ule elimu ilikuwa na maana siyo kama sasa watu wanachakachua. Umenikumbusha mbali sana hasa nilivyokuwa nimekariri mashairi yale kiasi cha kutokea kuwa mshairi na mtunzi. Kimsingi nawashukuru waliotunga vitabu hivi pamoja na akina Chinua Achebe maana bila wao nisingefikia nilipofikia kiutunzi.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-59053075005206721112012-05-22T13:52:18.503+02:002012-05-22T13:52:18.503+02:00Hakika,rafiki ni bora kuliko mwana sesere,kibanga ...Hakika,rafiki ni bora kuliko mwana sesere,kibanga ampiga mkoloni,Damasi na juma,,nk hadithi zilizo tukuka naukizisoma unapata maarifa.mfano ule utenzi /shairi ,karudi baba mmoja toka safi ya mbali.... kwa kweli zamani waliandika.nanyingine nimekumbuka maneno haya',aleya leya kana kansungu umwelu umwelu' nafikiri ilikuwa katika vitabu vya kiingereza. asante kwa kumbukubu.kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-36368650513505536412012-05-22T12:39:24.647+02:002012-05-22T12:39:24.647+02:00hahahahah umenikumbusha mbaliiiiiiii hadi rahahahahahah umenikumbusha mbaliiiiiiii hadi rahaInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-12103557003948451392012-05-22T11:35:04.319+02:002012-05-22T11:35:04.319+02:00UKWELI VITABU HIVI VIRUDISHWE
MAANA HATA KAPULYA ...UKWELI VITABU HIVI VIRUDISHWE <br />MAANA HATA KAPULYA MDADISI TULIMWONA NA MPAKA LEO DADA AMEKUWA MAARUFU KWA KUFUATA NYAYO ZA KAPULYA,HII ILIJENGA MTU KUJIAMINI KAMA CHILUNDA APAMBANA NA CHUWI NK<br />HUO NDIO UKWELI MIMI NAKUMBUKA HATA KWENYE KIMOMBO KULIKUWA NA VITABU NA HADITHI KAMA KANAKAMSUNGU,THE CROCODILE KEEPER,MKISI CROSS LAKE NYASA ,NK HIVI UKIVISOMA UKWELI HUWEZI SAHAU MPAKA LEO, NA ILE YA KARUDI BABA MMOJA TOKA SAFARI YA MBALI, SIZITAKI MBICHI HIZI <br />CHE JIAHISSACK CHE JIAHnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80027879482919900662012-05-22T11:12:20.464+02:002012-05-22T11:12:20.464+02:00"Usomaji katika mtindo wa kuumba maneno"..."Usomaji katika mtindo wa kuumba maneno".ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-23587937008119219712012-05-22T11:11:20.927+02:002012-05-22T11:11:20.927+02:00@Yasinta;
Ama kweli ya kale ni dhahabu na vitabu h...@Yasinta;<br />Ama kweli ya kale ni dhahabu na vitabu hivi vilitusaidia katika mazoezi ya kusoma na kuwekeza katika dhana ya kuwa wasomaji mahiri makini.Sikiliza watu wa enzi hizo na utasikia usomaji katika mtindo wa maneno.Leo hii usomaji ni mashaka matupu na umepoteza ladha kabisa.Mimi binafsi nakumbuka nikiwa msomaji wa darasa na hadi uwezo wangu wa kusoma hadarani ni mkubwa na wenye ladha maridhawa.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com