tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2568427595564648873..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: PALE WAZAZI WANAPOAMUA KUWACHAGULIA WATOTO WAO WACHUMBA NA MWISHO WAKE MAISHA YANAPOKUWA MATESO...JE? NANI WA KULAUMIWA?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89160449632603513042014-04-02T12:08:32.777+02:002014-04-02T12:08:32.777+02:00Asante ndugu yangu. Hata sijapoa. Madhara yake yan...Asante ndugu yangu. Hata sijapoa. Madhara yake yananiendesha puta hata leo.
Nilikuwa na sifa njema jamiini until things fell apart na sijaweza hadi kufanikiwa kuokota vipande vyote na kuviunganisha.

Huwa nasikitika sana sana sana. Kuna methali kikwetu (naamini karibu kila kabila ipo) kuwa ' kosea vyooote lakini sio ndoa'.
Basi ndio mie hapa. Yaliponifika ya kunifika , baada ya miaka 5 niliona nipumzike na hiyo taasisi nisije nikafa bure kwa kihoro. Hapo ndio nikawa nimezua uadui na kila pahali.

Jamiini naonekana mkosefu , Kanisani ( ambako nilikuwa nang'ara) naonekana kituko, familiani hawaachi kunisonta vidole.

Faraja yangu ni kama hivi, kwenye utandawazi, blogs najiangalizia wengine wanavyofurahia maisha haya ambayo tunayaishi mara moja tu, nasema hivi mie nimekosa nini? lakini nawaombea baraka wote ambao wamefanikiwa kufaidi maisha ya mapenzi na ndoa.

Ni mie Msikitikaji wa daima,
FASILI 37/38 (na sio FASIHI Yasinta- refer misamiati mipya tuliyoipata Bunge la Katiba. Fasili ni kama section au sub-section- nami nimejifunza punde tu. Nakupa homework utafute hizo fasili zinahusu nini basi hata utajua why I chose them to represent me. ) Pole kwa kijijaridaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-71805273433380098232014-03-31T14:50:17.266+02:002014-03-31T14:50:17.266+02:00Ndugu yangu Miss FASIHI YA 37/38! kwa kweli naweza...Ndugu yangu Miss FASIHI YA 37/38! kwa kweli naweza kuungana nawe mkono kwa asilimia 80% katika hili. Wasichana wengi sana huolewa tu kwa vile wazazi wamempenda kijana. wanataka kuwafurahisha wazazi na wanajisahau wenyewe furaha yao itakuwaje..inasikitisha sana lakini ndivyo ilivyo. Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-78284303408752390902014-03-31T14:04:07.830+02:002014-03-31T14:04:07.830+02:00Nashukuru kwa simulizi hii. Ni kama nimesemwa mie ...Nashukuru kwa simulizi hii. Ni kama nimesemwa mie kwa kiwango kikubwa.
Nimesoma, lakini sikuwa na choice nzuri katika mahusiano maana kila wakati niliangalia kufurahisha wazazi.

Kila niliyempenda hawakumpenda, matokeo yake, maisha yangu hata hayaeleweki. Ndoa niliolewa ili mradi. Ee Mungu nisaidie.

Miss FASILI YA 37/38Anonymousnoreply@blogger.com