tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2319715842367536571..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MWANAMKE KANGA....NIMEPENDA MTINDO HUU WA KUFUNGA KANGA!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7281652449207385762015-04-17T04:08:24.101+02:002015-04-17T04:08:24.101+02:00Ulimbukeni na kupwakia vya wengine kunaua mambo me...Ulimbukeni na kupwakia vya wengine kunaua mambo mengi. Mara jeans mara ninja mara upuuzi mara kila cha wenzao cha maana. Huoni hata akina kaka wanavyovaa milegezo na kutoboa masikio utadhani kuna biashara wanatangaza wasijue chanzo na maana ya yote.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-29619876132895370232015-04-16T14:54:00.808+02:002015-04-16T14:54:00.808+02:00Kachiki kama huna za kutosha sema maana mimi naniz...Kachiki kama huna za kutosha sema maana mimi nanizo halafu dada Mariamu wa Japan atatuunga mkono nadhani.

Candc! Ndiyo mambo ya Kanga kwani vipi hupendi?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7934768515343642932015-04-16T13:55:38.905+02:002015-04-16T13:55:38.905+02:00Mambo ya khangaMambo ya khangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58577264556864023482015-04-16T13:29:42.973+02:002015-04-16T13:29:42.973+02:00kapendeza mwayego..!!
Ni kweli Kadala wa mimi..
sa...kapendeza mwayego..!!
Ni kweli Kadala wa mimi..
sasa niwakati mimi wewe na yule tuanze kuvaa kanga na kuweka picha kwa mitandao tulivyopendeza na vazi hilo..
Lakini sina uhakika kama ninazo za kutoshaaa......mwehh.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com