tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2310390946347341730..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: BIKIRAYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-26295918624087095932019-04-01T00:36:57.696+02:002019-04-01T00:36:57.696+02:00Saf. Nimeipenda hii zuli sana yani Saf. Nimeipenda hii zuli sana yani Ulimwengu Habarihttps://www.blogger.com/profile/01639653341016904058noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-88456371089499603192016-11-11T03:30:50.300+01:002016-11-11T03:30:50.300+01:00dah... wakati wakutoa bikra unastaili kutumia nguv...dah... wakati wakutoa bikra unastaili kutumia nguvu na inatoka baada ya mda gan( dakika) ngapiRichardhttps://www.blogger.com/profile/00526621735454650921noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-69821423925565984422016-03-01T09:56:50.767+01:002016-03-01T09:56:50.767+01:00Well, wanawake hujitunza kwa kuitunza .... asigusw...Well, wanawake hujitunza kwa kuitunza .... asiguswe,
sijaona wanaume wanapimwaje? au wao ni haki kutembea watakavyo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-8652282891509110542009-04-30T22:15:00.000+02:002009-04-30T22:15:00.000+02:00hilo linaitwa chenza ingawa kuna machungwa yanamen...hilo linaitwa chenza ingawa kuna machungwa yanamenywa kama chenza, aliimba Suma lee, naendelea kumnukuu kuna walioolewa na machenza na ndoa zao walishindwa kuzitunza, lakini kuna walioolewa na machungwa na ndoa zao walizitunza
Kwa sisi wanaume kuna raha yake ukilikuta chenza, ingawa nasikia kuna ya kutengeneza (Tanga huko) sijui kweli? kwa wanaume naona kumjua au kumpima bikira ni ngumu sanaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-46081207706301468392009-04-29T19:39:00.000+02:002009-04-29T19:39:00.000+02:00Safi sana Yasinta,kweli hapa kuna mengi hii mada i...Safi sana Yasinta,kweli hapa kuna mengi hii mada imetulia na ukitafakari kwa undani mmmh,wanawake bado tunaonewa sana wanaume je?PASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-44774641462124439352009-04-29T19:07:00.000+02:002009-04-29T19:07:00.000+02:00Wanawake na wanaume wote wanatakiwa kuwa bikira.
...Wanawake na wanaume wote wanatakiwa kuwa bikira.

Pengine ubikira wa wanaume hautiliwi maanani kwani ni vigumu sana kutambua kuwa ni bikira au la.

Ubikira kwa ulimwengu wa sasa ni muhimu sana.Mtu anayeweza kuwa katika hali hii anakuwa amejiepusha na hatari za maambukizi ya magonjwa ya zinaa na mtu wa aina hii kwa asilimia kubwa atawezakuwa mwaminifu katika ndoa.,ni heshima, inaongeza uaminifu kwa mwenza wako, n.k

ANGALIZO: Kuna kina dada/wanawake ambao hutunza ubikira ili watakapokuja kuolewa waonekane hawakuwa viwembe wakati kwa upande mwingine walikuwa wanakosoa uumbaji wa Mungu.Kwa hali hii hakutakuwa na maana yoyote ya kutunza ubikira!Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-88831528444272413632009-04-29T16:42:00.000+02:002009-04-29T16:42:00.000+02:00Mzee wa Changamoto ni kweli hapa kuna kujifunza me...Mzee wa Changamoto ni kweli hapa kuna kujifunza mengi.

Mzee wa Taratibu mmh hapa utafaidika.

Mwanasosholojia ni kweli kinachotakiwa ni kutafakarri na kuchukua hatua.

Kaka Bwaya Bado unatafakari?

Prof. Matondo hilo swali nami nimekuwa najiuliza kwa nini wasichana/wanawake tu wanatakiwa kuwa BIKIRA na sio wavulana/wanaume. Je kuna mtu ana jibu?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-81373029403904418322009-04-29T16:30:00.000+02:002009-04-29T16:30:00.000+02:00Mimi hapa sina la kusema! Hata hivyo kila mara huw...Mimi hapa sina la kusema! Hata hivyo kila mara huwa najiuliza, kwa nini ubikra wa wanaume hautiliwi maanani? Ni yale yale, ukisikia watu wanazungumzia malaya aka dada poa aka CD n.k, n.k. mara nyingi anayebebeshwa mzingo wa lawama ni mwanamke utafikiri kwamba huo umalaya anaufanya peke yake. Ni matokeo ya mfumo dume au???Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-39411889835276052792009-04-29T12:40:00.000+02:002009-04-29T12:40:00.000+02:00Mada nzuri. Hebu niitafakari zaidi.Mada nzuri. Hebu niitafakari zaidi.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-2456128638571435132009-04-29T10:45:00.000+02:002009-04-29T10:45:00.000+02:00Imekaa vizuri, kinachotakiwa ni kutafakari na kuch...Imekaa vizuri, kinachotakiwa ni kutafakari na kuchukua hatua!Mwanasosholojiahttps://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31401832462390071372009-04-29T09:08:00.000+02:002009-04-29T09:08:00.000+02:00Kama sisi hatujaoa na tusiojua mambo kama haya sas...Kama sisi hatujaoa na tusiojua mambo kama haya sasa tutayajua kabla ya kuoa, mada nzuri hii.Mzee wa Taratibuhttp://www.borntosuffer1.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-23505284101523831722009-04-29T03:42:00.000+02:002009-04-29T03:42:00.000+02:00Hapa kuna mengi ya kujifunza. Asante kwako na Kaka...Hapa kuna mengi ya kujifunza. Asante kwako na Kaka Mbilinyi.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com