tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2242052092415412399..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: JUMAMOSI NJEMA JAMANI LEO TUSIKILIZE NGOMA YA ASILI YA WAHAYA WA KAGERA NA DADA SAIDA KAROLIYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-64580440639611273712012-02-17T10:55:58.891+01:002012-02-17T10:55:58.891+01:00Rachel una vituko wewe nimecheka kweli hapa haya b...Rachel una vituko wewe nimecheka kweli hapa haya basi itabidi tuanzishe kwaya yetu unasemaje?
KUPIGA TONGWA MMHH NISEONGOPE SIWEZI AIBU KWELI ETI EEEEHH!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-44342740298655968872012-02-13T13:47:28.597+01:002012-02-13T13:47:28.597+01:00Dada yangu Kuimba duh naona Mungu alisahau kuniing...Dada yangu Kuimba duh naona Mungu alisahau kuniingiza kwenye chumba hicho, sauti ya kuimba 0 juu chini chini juu tehtehtehte,yaani naimba kujifurahisha tuu, lakini si muimbaji dada.Kucheza dada YaSinta mpaka waseme jamanieee basiii mziki/Ngoma unazimwaaa hahahaahhahah!!nafikiri hapa dadake nakutoa/kukushinda,hahahha,Ahsante kwa TONGWA DADA YANGU,Swali la Kizushi jee unajua KUPIKA/KUTENGENEZA TONGWA?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-66051302599377889152012-02-11T16:23:28.279+01:002012-02-11T16:23:28.279+01:00Nakubaliana nawe kaka Ray..halafu nimependa kweli ...Nakubaliana nawe kaka Ray..halafu nimependa kweli msemo huu "HAKIKA JASIRI HAACHI ASILI NA MUACHA ASILI NI HASIDI NA HANA AKILI"

RAchel unaweza kupitana na mimi kuimba au kucheza miziki ya asili?
Nimefurahi kusikia kuwa unacheza na ungepata katongwa haya pokea hiyooooooo:-)

Kaka mkubwa Phiri! nimesawazisha Ahsante!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-22597127937847669242012-02-11T15:36:15.670+01:002012-02-11T15:36:15.670+01:00Tuelimisheni nasi waBondeni kidogo.
Ni "Waya...Tuelimisheni nasi waBondeni kidogo.

Ni "Wayawa" au "Wayahawa", au hao ni makabila mawili tofauti, au vidole vimeteleza kidogo kwa Mdogo wangu?Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51548104888165141912012-02-11T14:51:38.348+01:002012-02-11T14:51:38.348+01:00Mimi napenda sana miziki mingi tuu yenye uasili ha...Mimi napenda sana miziki mingi tuu yenye uasili hata ngoma pia napenda pia,kifupi napenda na kucheza pia,hapa nilipo nipo hoi na huu mziki wa leo, kama ningepata katogwa kidogo ili roho ipoe, Ohhhhh iiii.J'mosi njema na wanangu na baba yao pia, nawooote!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-57368043165828327092012-02-11T14:04:37.483+01:002012-02-11T14:04:37.483+01:00Kajitahidi sana kulingana na uwezo wake.Mimi nawap...Kajitahidi sana kulingana na uwezo wake.Mimi nawapenda sana wagosi wa kaya kwa kuweza kuimba katika lugha ya Kiswahili chenye lafudhi ya wakazi wa mkoa wa Tanga.

Angalizo:
Wanamuziki wa Tanzania wanashindwa kupenyeza kwenye anga la kimatifa kutokana na ukosefu wa ubunifu.

Ushauri:
Wekeni mashairi yenu katika lugha za makabila yenu mkipenda.Na mashairi hayo yawekeni tena katika lugha ya Kiswahili,Kiingereza ,Kifaransa na lugha nyinginezo nyingi mkipenda.

Hitimisho:Ukiimba kikabila tu katika hizi zama za teknohama unabakia nyuma ya mshale wa saa.Twendeni kitaifa na kimataifa zaidi chini mwamvuli wetu wa asili.

"HAKIKA JASIRI HAACHI ASILI NA MUACHA ASILI NI HASIDI NA HANA AKILI"

SHUKRANI:Kwa mwenye blogu pokea shukrani na salamu zangu na kwa wadu wote kwenu nasema wikiendi maridhawa kifamilia zaidi.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com