tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post2099164179562822009..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: KUTANA NA YASINTA, MJASIRIAMALI ALIYESEMA HAPANA KWA WANAUME WAKWAREYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89463678626677990412013-03-19T23:09:58.769+01:002013-03-19T23:09:58.769+01:00Nammis saaana Koero.
Ajuaye alipo amwambie NAM-MIS...Nammis saaana Koero.
Ajuaye alipo amwambie NAM-MISSMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79207836691765191722013-03-19T14:27:52.242+01:002013-03-19T14:27:52.242+01:00Habari
Kuhusu habari ya Yasinta mjasiliamali.
...Habari

Kuhusu habari ya Yasinta mjasiliamali.

Hongera na hongera sana,pamoja na subiri lakini pia ameamini katika kupania na kudhamiria na kutenda na kuweza.

Kitu ambacho watanzania wengi tunakikosa na hasa kuwa na dhamira ya kweli ya kile tunachokifanya.

Ametoa somo la kuonyesha kuwa ukiamua,ukadhamiria na kuamini katika kuweza unakua na nguvu ya kupata kile unachokihitaji.

Kwa yeye kuwa na picha ya nyumba alikuwa anatuthibitishia kuwa nguvu ya kuvuta unachohitaji inafanyakazi. Lakini pia hakuongozwa na utashi zaidi ya kuwa na uhitaji. Mfano kuwa na uhitaji wa nyumba ya vyumba viwili kwa mahitaji ya kawaida na ya kweli kwa mtu asiyekua na familia ilimsaidia kuonyesha kuwa hatuhitaji nyumba ya vyumba zaidi ya vitatu kwa familia ya baba na mama,jambo ambalo wengi hatuliamini kuwa tunahitaji nyumba ya vyumba 3 tu kwa mahitaji yetu ya kuwa na mahali pa kulala salama.
Nakutaki siku njema.Salehe Msandanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-90757460169715986482013-03-18T18:14:02.150+01:002013-03-18T18:14:02.150+01:00Kudos Yacinta, kuna muziki wa kikikuyu unasema chu...Kudos Yacinta, kuna muziki wa kikikuyu unasema chunga chunga wao husema shunga shunga wanaume ni hatari. Heri somo hili lingechukuliwa na wote wanaokabiliwa na mtihani huu, tungeokoa wengi.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-39276217382514178672013-03-18T12:28:22.778+01:002013-03-18T12:28:22.778+01:00Hongera sana yasnta kwa kuepuka makundi mabaya na ...Hongera sana yasnta kwa kuepuka makundi mabaya na kuweza kutimiza malengo yako nimfano wa kuigwa sn mungu akubariki mdada.Shalomnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-24325702229239901912013-03-18T10:11:27.904+01:002013-03-18T10:11:27.904+01:00Twamtakia kila la-heri Yasinta, na yeye ni mfano m...Twamtakia kila la-heri Yasinta, na yeye ni mfano mwema kwa wale wote wanaohitajia maendelea na kuishi kwa pato lao la halali, ambayo hupatikana kwa jasho lao na nguvu ya mikono yao wenyeweemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-84088013185502108882013-03-18T09:59:20.564+01:002013-03-18T09:59:20.564+01:00Kama waswahili wanavyosema, mvumilivu hula mbivu. ...Kama waswahili wanavyosema, mvumilivu hula mbivu. Kweli Yasinta amaonyesha uvumilivu wa hali ya juu na ni mfano mzuri kwa wasichana wenzie kuiga stadi za maisha. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.com