tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post181562995690599576..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: SWALI LETU LA IJUMAA YA LEO!!! Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-73029040408635275282015-02-24T10:10:30.018+01:002015-02-24T10:10:30.018+01:00Kaka Mhango! Nimekuelewa na pia naweza kusema si w...Kaka Mhango! Nimekuelewa na pia naweza kusema si wanawake wote wana hayo maisha marefu na mazuri.

Mama Wana ! nashukuru kwa mchango wanko maana hujapita kimya kimya umeacha kitu Ahsante.

Daniel! Je unaona hilo ni jambo la busara kutumia nguvu? au nimekuelewa vibaya ?
Dada P: inawekana ikawa kweli.
Kachiki! si unajua ni raha kujifunza.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-13294924325053743912015-02-17T18:03:15.094+01:002015-02-17T18:03:15.094+01:00Mmmhh hapa pakujifunza zaidi..Mmmhh hapa pakujifunza zaidi..Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58000570398268613952015-02-17T10:22:06.174+01:002015-02-17T10:22:06.174+01:00Ni kwa sababu wanawake wanajipenda sana, wanaume s...Ni kwa sababu wanawake wanajipenda sana, wanaume shida yao ni moja inayowaharibia maisha na pension wanazokuwa wamepewa, wanapenda sifa na starehe za mwilini.
Penina Simonnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-9455369742970910792015-02-17T10:20:51.829+01:002015-02-17T10:20:51.829+01:00jibu ni rahisi tu bwana, WANAUME WANAWAHANGAIKIA W...jibu ni rahisi tu bwana, WANAUME WANAWAHANGAIKIA WANAWAKE NDIO MAANA UNAONA WANAUME WANAPOTAFUTA HUTUMIA NGUVU NYINGI KULIKO WWANAWAKEDaniel Hharynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-36156184986293491062015-02-16T06:40:18.050+01:002015-02-16T06:40:18.050+01:00Mmmmh hapa mimi ngoja nipite kimya kimya tuuMmmmh hapa mimi ngoja nipite kimya kimya tuuMama Wanenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-59977581192635319052015-02-15T04:20:00.320+01:002015-02-15T04:20:00.320+01:00Da Yasinta, bado sikubaliani na jibu lako. Hata ka...Da Yasinta, bado sikubaliani na jibu lako. Hata kama wanawake hawana wake au hawaoi wanaolewa je hilo si tatizo?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-53681776284541872942015-02-14T11:36:28.855+01:002015-02-14T11:36:28.855+01:00Daniel ...Unaweza kufafanua?Daniel ...Unaweza kufafanua?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51932886482074414872015-02-14T11:35:29.156+01:002015-02-14T11:35:29.156+01:00jibu ni rahisi tu bwana, WANAUME WANAWAHANGAIKIA W...jibu ni rahisi tu bwana, WANAUME WANAWAHANGAIKIA WANAWAKE NDIO MAANA UNAONA WANAUME WANAPOTAFUTA HUTUMIA NGUVU NYINGI KULIKO WWANAWAKEDaniel Hharynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-57690744911922184412015-02-14T10:59:41.112+01:002015-02-14T10:59:41.112+01:00kutofautina nami si vibaya kakangu ...na nakubalia...kutofautina nami si vibaya kakangu ...na nakubaliana nawe ni kuwa ni wanawake wachache sana wana maisha hayo kila sehemu ...ila hapa jibu lake ni kwamba kwa sababu wanawake hawana wake/hawaoi.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-52916363436378090992015-02-14T00:03:22.939+01:002015-02-14T00:03:22.939+01:00Naomba kutofautiana nawe. Ni wanawake wangapi, wap...Naomba kutofautiana nawe. Ni wanawake wangapi, wapi na wa wapi? Kuna ukweli kuwa wanadamu wote wanaishi katika maisha mazuri na wengine magumu wengine kwa furaha wengine kwa uchungu. Nadhani ni mchanganyiko. Ni mawazo yangu tu.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com