tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post1082172392598034246..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: KAMA MVI NI KIPIMO CHA BUSARA, NI KWA NINI ZIFICHWE??Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-46099361636944142702013-10-18T08:18:05.361+02:002013-10-18T08:18:05.361+02:00Kuna mabadiliko ambayo hayakwepeki, ndivyo tulivyo...Kuna mabadiliko ambayo hayakwepeki, ndivyo tulivyo, ndivyo tulivyoumbwa, ukifikia umri fulani, utaota meno, ...yatakuja yatang'oka,...ikifika umri fulani, utaota ndevu, utaota matiti....na halikadhalika, ikifika umri fulani, utaota mvi..sio ugonjwa, ni hali ya kimaumbile, sasa kwann tupate shida na hayo maumbile, cha muhimu ni kuyakubali, maana hayana jinsi,..ni kama uzee, upende usipende, utafikia mahali utakuwa mzee....emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-42896719904083106982013-10-17T18:11:58.611+02:002013-10-17T18:11:58.611+02:00Mvi...sioni sababu yaficha maana kuptaa mvi ni laz...Mvi...sioni sababu yaficha maana kuptaa mvi ni lazima kila mtu atapata. Je utakuwa unaweksakila siku Hizo dawa? Tuache hizo tabuia nds tuache kujibadili.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31562181348587855092013-10-17T10:31:56.287+02:002013-10-17T10:31:56.287+02:00Wewe umetoka katika familia gani?
Hili ni swali mu...Wewe umetoka katika familia gani?<br />Hili ni swali muhimu katika jamii kila siku.Baada ya maelezo watu hukubali au hukataa majibu ya mhusika kutokana na ufahamu wao.Ndevu na mvi ni uwakilishi wa kifamilia na iwapo mtu anaficha basi anaficha uasilia wake.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-22772140321323582742013-10-16T12:32:28.344+02:002013-10-16T12:32:28.344+02:00ni kweli kabisa watu wengi hawapendi mvi jamani! h...ni kweli kabisa watu wengi hawapendi mvi jamani! hata kina baba huweka nywele dawa ziwe nyeusi eti wanaogopa kuonekana na mvi! inashangaza sana. Ila pia kwa miaka hii kina dada wengi huota mvi mapema mno miaka ya 20 na kuendelea kisa ni madawa ya nywele haya marelaxer yanasababisha mvi kuota haraka mno! madhara nay kemikali kwenye mwili ni makubwa. Weengi huweka dawa ili kuzificha, ila wana mvi nyingi tu. Tuwe makini na tunayoamua kufanya kama kuweka dawa nywele, ambapo kunakuja kusababisha mvi ambazo huwezi kufanya zisiote tena.Anonymousnoreply@blogger.com