tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post1074344203158852949..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MATESO KATIKA NDOA/MAHUSIANO....KUFUJWA KWENYE NDOA NI NINI?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-35262634208778498782022-07-12T01:58:42.448+02:002022-07-12T01:58:42.448+02:00Hakika imenigusa Hakika imenigusa Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-5326902646503879922013-06-26T15:38:47.616+02:002013-06-26T15:38:47.616+02:00Kuolewa amakuowa, nikitu kizuri sanaaa. ubaya ama ...Kuolewa amakuowa, nikitu kizuri sanaaa. ubaya ama uzuri unakuja wakati tendo hilo la kuowana lisha fanyika!!? kila mtu mume au mke anajuwa aliko mpata mwenzi wake,na miongoni mwenu mnajuwa nini kiliwafanya au kuwasukuma muowane. kiukweli wa tu hukurupuka katika maamuzi ya kuowa amakuolewa inabidi kujipanga vizuri.haya yote tuna yo jadiri sasa ni matokeo ya kutokuwa makini na maamuzi yetu ya awali. mfano mtu kisha onyesha dalili za kukupiga kibao ama kakupiga kabisa ,lakini bado uamkubali akuowe,ukitegemea atabadirika, kumbe ndo unakuwa umeji palia mkaa. ushauri wangu kama ndoa inakusumbuwa na unakiri kabisa huwezi kuvumilia au hamuwezi kuelewana tena toka ndani ya ndowa,anza upya kwani kwa wana wake,zamani walikuwa wanaogopa kurudishwa kwa wazazi,lakini sikuhizi mwanamke akiachika hasemi naenda kwa wazazi utamsikia akisea siwezi kushindwa kuishi,hapo ujuwe anaweza kusimama ka ma yeye .kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31618398874863694352013-06-26T14:04:10.778+02:002013-06-26T14:04:10.778+02:00Ndoa ndoano na kuishi ni kusikilizana. Bahati mbay...Ndoa ndoano na kuishi ni kusikilizana. Bahati mbaya sana ndoa nyingi ziko katika hali ya taabani na wajuao ni walioko katika ndoa hizo. Habari njema ni kwamba hakuna awezaye kuwatatulia matatizo yenu bali ninyi wenyewe. Ni vema kuamshana usingizini pale pasipo na maelewano. Tatizo kubwa nilionalo mimi ni pale mmojawapo anapokosa upeo wa kuona lipi ni baya na lisilompendeza mwenza. Hali hii kwakweli ni hatari kwa ndoa na mara nyingi huelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi...Ni mawazo tu...Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07722344478243372930noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-41729273753144244772013-06-26T12:36:45.491+02:002013-06-26T12:36:45.491+02:00Kaka zangu...ahsanteni sama. Justin wala usiogope....Kaka zangu...ahsanteni sama. Justin wala usiogope...ray kakangu mfano mziti Usengwili. Emu-3...hakika umenena kwanini hakuna shule ya Ndoa? Au kwa nini kukimbilia kuoana kabla kujuana?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-25518344404009728352013-06-26T08:13:20.792+02:002013-06-26T08:13:20.792+02:00Ndoa ni hazina isiyothaminika, na kama tungelijua ... Ndoa ni hazina isiyothaminika, na kama tungelijua hivyo, katu tusingeibeza.

Tatizo ni kuwa ,ni nini maana ya ndoa, na tufanye nini kwenye ndoa,haijulikani.
Ipo siku niliuliza kwanini ukitaka kuwa docta unausomea udocta, sasa kwanini kwenye ndoa ukitaka kuwa mwanandoa hatuusomei `undoa' tunaingia kichwa kichwa..

Hatutaki kujifunza kwanza kabla ya kuingia kwenye hiki kisiwa cha baraka cha ndoa,kama tungelijifunza tukafahamu mitaa ya ndoa, ramani ilivyo, na mpangilioa wake, katu hatungelipotea.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-92073191744169255512013-06-25T14:57:55.619+02:002013-06-25T14:57:55.619+02:00Kutamaushwa—“Sikutarajia Hali Hii”
“Nilipoolewa n...Kutamaushwa—“Sikutarajia Hali Hii”

“Nilipoolewa na Jim,” asema Rose, “nilitarajia tungekuwa na mapenzi kama ya malkia na mfalme mwenye kuvutia katika hadithi moja—mahaba kemkemu, wororo tele na kutendeana kwa fadhili.” Lakini, baada ya kitambo kidogo, “mfalme” wa Rose akawa havutii tena. “Hatimaye alinitamausha sana,” yeye asema.

Sinema, vitabu, na nyimbo zinazopendwa na wengi hutoa maoni yasiyo halisi kuhusu upendo. Wanapokuwa wakichumbiana, huenda mwanamume na mwanamke wakahisi kwamba mataraja yao yametimia; lakini baada ya miaka fulani katika maisha ya ndoa, wanakata kauli kwamba hiyo ilikuwa ni ndoto tu! Maisha ya ndoa yasiposhabihi yale yanayosimuliwa katika riwaya za mahaba, wengi huona ndoa yao haiwezi kufaulu kabisa.

Pasipo shaka, matazamio fulani katika ndoa yanafaa kabisa. Kwa mfano, inafaa kutazamia upendo, ufikirio na utegemezo kutoka kwa mwenzi wa ndoa. Na bado, huenda hata matazamio hayo yasitimizwe. “Nahisi kana kwamba sijaolewa,” asema Meena, msichana mchanga aliyeolewa karibuni huko India. “Najihisi nikiwa mpweke na hakuna anayenijali.”ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-16433832711817883732013-06-25T14:50:44.356+02:002013-06-25T14:50:44.356+02:00Mh! Asante kwa elimu hiyo, ili hata sisi tulio nje...Mh! Asante kwa elimu hiyo, ili hata sisi tulio nje ya ndoa tujifunze namna ya kuingia kwenye ndoa iliyo bora! Kama ingekuwa mimi, tangu kipigo cha kwanza ningeteleza!Justin Kasyomehttp://www.swahiliabroad.blogspot.comnoreply@blogger.com