tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post1066550682243198129..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MILO AMBAYO NINGEPENDA SIKU YA LEO NILE NI HII HAPA...!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87800993134357940802013-01-31T15:12:51.709+01:002013-01-31T15:12:51.709+01:00Hakika nitafanya hivyo!Hakika nitafanya hivyo!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-13577417324839479532013-01-30T12:15:53.619+01:002013-01-30T12:15:53.619+01:00karibu sana...wahi kidogo usije ukakuta ndizi zime...karibu sana...wahi kidogo usije ukakuta ndizi zimekwisha:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-13815981134423968882013-01-30T11:58:20.299+01:002013-01-30T11:58:20.299+01:00Asante sana!!Asante sana!!ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89558787988943327392013-01-30T11:24:29.089+01:002013-01-30T11:24:29.089+01:00kaka Ray! karibu sana kujumuika nasi...na Ahsante ...kaka Ray! karibu sana kujumuika nasi...na Ahsante sana kwa neno hilo kuhusu mke/mwanamke...pamoja daima.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-77498699103861019542013-01-29T16:45:11.710+01:002013-01-29T16:45:11.710+01:00Hakika maandalizi mema sana kwa ajili ya familia n...Hakika maandalizi mema sana kwa ajili ya familia nami naungana na familia yako katika mlo huu wenye ladha zote.Ukiwa ni mwanamke mwema jisikieni kuwa ni fahari kwako kuihudumia familia yako katika nyanja mbalimbali na kamwe utendaji huo usitajwe kuwa ni mzigo kwako wala laana.

Ndiyo sababu tunasema:-
"Ni nani kama mama"?
"Mama ni nguzo ya dhahabu isiyoisha thamani."

Wanawake endeleeni kutafakari maneno haya kutoka katika biblia:-

"Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."_Mwanzo 1:18

Mke mwema anamhudumia mume wake na familia yake yote kwa ukarimu na upendo. Anahakikisha wanapata chakula kilicho bora na chenye afya. Ni mtu mwenye huruma na ukarimu.Mithali 31:12-15, 17, 20

ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com