Tuesday, May 29, 2018
NAWATAKIENI SIKU NJEMA YENYE AMANI NA FURAHA
Ni siku nyingine tena na jumanne ya mwisho ya mwezi huu nami nimeona niwatakieni kihivi. AMANI NA FURAHA VITAWALA MIOYONI MWENU. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA KARIBUNI
Monday, May 28, 2018
JUMATATU HII YA MWISHO YA MWEZI HUU WA TANO TUANGALIE BAADHI YA METHALI ZETU
1. Aisifuye mvua imenyeshea
2. Baniani mbaya kiatu chake dawa
3. Bendera hufuata upepo
4. Fuata nyuki ule asali
5. Haraka haraka haina baraka
6. Mtoto wa nyoka ni nyoka
7. Sikio la kufa halisikii dawa
8. Ulimi hauna mfupa
9. Tamaa mbele mauti nyuma
NAWATAKIENI JUMATATU HII YA MWISHO WA MWEZI HUU IWE NJEMA SANA NA TUTAONANA TENA KARIBUNI.

Tuesday, May 22, 2018
Friday, May 18, 2018
NACHUKUA NAFASI HII KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA MWISHO WA JUMA UWE WENYE MAPUMZIKO YA AMANI NA FURAHA....
Chagu lako kupumzika kwa kunywa pombe ya kienyeji komoni na ulanzi au
Pombe ya kisasa kwa jina la bia
IJUMAA NA MWISHO MWEMA WA JUMA
Monday, May 14, 2018
Wednesday, May 9, 2018
Friday, May 4, 2018
KUMBUKUMBU YA MAISHA...NILINUSURIKA KUFA KWA KUSOMA KWA MWANGA WA KOROBOI/KIBATALI
Sijui ni kumbukumbu nzuri au mbaya? Ila nimekumbuka mbali sana...ama kweli watu tumetoka mbali. NIWATAENI IJUMAA HII YA KWANZA YA MWEZI HUU WA TANO IWE NJEMA NA YENYE KUMBUKUMBU NJEMA ZA FURAHA.
Wednesday, May 2, 2018
HAPA NI KWETU MBINGA..ANGALIA MANDHARI YAKE INAVOVUTIA.....!
Kama tuonavyo ni mandhari nzuri ya migomba, na vinginevyo pia mwaona kuku wakidonoadonoa na bila kusahau banda ya nguruwe....
Mkungu wa ndizo(kaporota) kutoka katika hiyo migomba hapo juu kazi ya mikono ya kaka yangu amenitumia ili kunitamanisha na amenitamanisha haswaaa
Bado ni bustani ya migomba na vingine kama vile mahindi na vinginenyo na kwa juu ndio nyumba yetu mpya ya huko Mbinga....karibuni

Nguruwe....pia wapo